Pongezi kwenu Single Mothers
bila shaka mleta mada ni single Mama..
Labda nichangie kwa kusema.. Kuoa sio jambo la plan na wala sio jambo la kubahatisha. Wapo waliooa masingle Mama wakapendana sana na maisha yakawa mazuri mno.. lakin wapo waliooa masingle Mama mambo yakawachachia na wapo waliooa Bikra wakajiaminisha kuwa bikra ndo hii wakakutwa na makubwa mno na wapo waliooa Bikra wakayafurahia sana maisha ya ndoa.. So fanya unachokiona ni sahihi na moyo wako umeridhia halaf pia kinachosababisha cheating migogoro na mengine ndani ya nyumba huwa ni jinsi mnavyoishi siamininkama mnayaishi maisha ya furaha ya upendo halaf ikatokea migogoro siamini kama inawezekana.. Kuna ile leo umechelewa kurudi nyumbn kesho umekutwa na meseji mara imepigwa cm mara umekutwa na picha za uchi mara umekutwa na nini sijui lazima mmoja wapo atakengeuka tu
 
Asante kwa mchango wako mkuu
 
"single mama aliyetulia"
Ngoja waje...
Hata huyo ambaye anakuzalia mtoto wa nje ndani ya nyumba ni wale wale single mama,
Unajua kuna wanawake wengine wamezaliwa wawe single mother.
Yaani ndoa kama ndoa haziwapendezi, ila usingle mama ndiyo unawapendeza.
Na huu ndio ugonjwa. Yaani hata akiolewa kwa adabu zote atafanya kila analoweza atimize azma yake ya kuzaa nje ya ndoa ndipo roho yake itatulia.

Vijana wa sasa tunapitia Maisha ya mikosi sana.
 
Yap ni kweli mkuu,lakini kuna wanaume wanaoa single mom watulivu lkn anaumia sana kulea mtoto ambaye sio wake,ndio maana wengine huwaambia wawapeleke kwa baba mzazi au kwa bibi zao
Mtoto akitimiza miaka saba anatakiwa kwenda kwa baba yake kama mama na baba yake mzazi hawaishi pamoja.

Kisha huyu mwanamke apate watoto wengine na mwanaume aliyenae atulize matako yake hapo asilete tena mazoea sijui kule kwa yule mwanaume niliyepata nae mtoto wanamsiba sijui kuna nini wamenialika. Hatakiwi kuwajua hata kidogo kuwa wana exist.

Ajenge mahusiano mapya na wakwe zake na huko ndipo ashiriki kila kitu.
 
Mimi binafsi baada ya kuachanaga na demu wangu wa kwanza sijawahi kua serious na mapenzi tena.

Kuumizwa hakuwezi kuwa determined na mdada kua bikra, single mothers au shangazi ni mategemeo, imani na matumaini uliyoweka/uliyoyaweka kwa unaemdate.
Wewe kweli uliumizwa. The way umeandika ni kama mtu ambaye alipitia changamoto ya mahusiano akajifunza hakuondoka mtupu.

Ni kweli kabisa. Expectations ndizo huumiza watu. Ukitaka mahusiano yawe imara kila mtu awe busy na kumfanyia mwenzake mazuri yaani kubalianeni kuwa ni lazima kufanyiana moja mbili tatu bila kuulizwa hautakuja kuta mnashindana wala kubishana.

Mahusiano huwa yana imarishwa kupitia matendo sio maneno na kulaumiana.

Ukitaka uaminifu wewe fanya part yako na mwenzako afanye part yake jiwekee tu principle kuwa hakuna siku huyu mwanamke wangu atashuhudia namuonyesha kuwa kuna mwanamke mwingine juu yake hata kama wapo.

Na kama mwanamke usije ukathubutu hata siku moja hata kwa bahati mbaya kuruhusu mwanaume mwingine aguse huo mwili iwe kwa utani au bahati mbaya ondoa kabisa mazoea na wanaume maana ndipo utashangaa umeshapigwa miti halafu useme ilikuwa bahati mbaya. Si bahati mbaya ni mazingira ulitengeneza ya kuliwa.
 
Single mothers ni mashujaa....potelea mbali mnavyowasema ila wanajitoa sana kwa ajili ya watoto wao....
 
😁apana sio kwel kwamba nliumia ila nlidate na mdada mzoefu na alikua mkongwe kwenye field (gape la kiumri Kati yangu na yy ni 13yr) alinifunza mengi sana, akaja kuolewa 2019.
 
Single mothers ni mashujaa....potelea mbali mnavyowasema ila wanajitoa sana kwa ajili ya watoto wao....
Kuna msemo husema "Mchuma janga hula na wakwao". Usitegemee utapata mtoto nje ya utaratibu then ubenefit na mfumo wa Ndoa.

Ungeelewa matumizi sahihi ya neno shujaa na nini kipo nyuma ya hilo neno kama maudhui then ungeelewa haujalitumia eneo sahihi.

Kudeal na majukumu yako huo sio ushujaa ushujaa ni pale ambapo changamoto za wengine zimeshindwa kutatuliwa wewe ukaingilia kati na kujitoa kuwasaidia.

Sasa mtu kwa utashi wake anaanzisha mahusiano ambayo yanaonekana kabisa hayatafika hata mbali then anajiweka mkao wa kupata mtoto na muhusika na kuzaa nae akijua kabisa jamaa huyu ni aidha Bishoo asiye na malengo ya kujenga familia yaani muhuni tu wa mjini, mume wa mtu ambaye anataka kutafuta tu mbususu, Padre ambaye hatakiwi jihusisha na mahusiano ya kimapenzi, askari au mtumishi ambaye muda wowote hawezi kuwa eneo moja la kazi, yaani mtu yoyote ambaye anaonyesha hawezi kuwa katika Ndoa na kusettle yeye ndie anapata nae mtoto halafu yakimparamia wewe unasema ni shujaa.

Ushujaa kufanya maamuzi ya kipuuzi halafu yakikutesa useme ushujaa.
 
[emoji16]apana sio kwel kwamba nliumia ila nlidate na mdada mzoefu na alikua mkongwe kwenye field (gape la kiumri Kati yangu na yy ni 13yr) alinifunza mengi sana, akaja kuolewa 2019.
Kwann sasa uliachana na shangazi yako wakati alikuwa kashakupa hifadhi katika mbawa zake za mahaba na upendo wa wazi kabiaa ewe mpwa.
 
Kuna msemo husema "Mchuma janga hula na wakwao". Usitegemee utapata mtoto nje ya utaratibu then ubenefit na mfumo wa Ndoa.

Ungeelewa matumizi sahihi ya neno shujaa na nini kipo nyuma ya hilo neno kama maudhui then ungeelewa haujalitumia eneo sahihi.

Kudeal na majukumu yako huo sio ushujaa ushujaa ni pale ambapo changamoto za wengine zimeshindwa kutatuliwa wewe ukaingilia kati na kujitoa kuwasaidia.

Sasa mtu kwa utashi wake anaanzisha mahusiano ambayo yanaonekana kabisa hayatafika hata mbali then anajiweka mkao wa kupata mtoto na muhusika na kuzaa nae akijua kabisa jamaa huyu ni aidha Bishoo asiye na malengo ya kujenga familia yaani muhuni tu wa mjini, mume wa mtu ambaye anataka kutafuta tu mbususu, Padre ambaye hatakiwi jihusisha na mahusiano ya kimapenzi, askari au mtumishi ambaye muda wowote hawezi kuwa eneo moja la kazi, yaani mtu yoyote ambaye anaonyesha hawezi kuwa katika Ndoa na kusettle yeye ndie anapata nae mtoto halafu yakimparamia wewe unasema ni shujaa.

Ushujaa kufanya maamuzi ya kipuuzi halafu yakikutesa useme ushujaa.
dah, nimekuelewa aisee 😅
 
Back
Top Bottom