Pongezi mabadiliko makubwa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais. Asante Zuhura Yunus

busar

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,067
Hii ni Pongezi kwa Kurugenzi ya Habari ya Rais, lakini natambua umuhimu wa Kiswahili. Nashauri wale mliokua allergic na English toka awamu ya 5 basi piteni tu.

Leo baada ya miaka mingi tumeona Kurugenzi ya Rais ikitoa taarifa kwa lugha ya English, Lugha ambayo inawafikia wenzetu wengi wa nje ya dunia ya Kiswahili.

Asante sana Zuhra Yunusi na Tunamshukuru aliependekeza Jina lako. Sasa Tanzania inafunguka. Asante sana Mama Samia

1644437333569.png
 
Inategemea hiyo taarifa inatakiwa kuwafikia wakina nani! Kweli kama ni kuandika kwa kingereza unajaribu kusema kuwa Samia aliamua kumuajri Zuhura kwa sababu tuu akaandike taarifa kwa Umma kwa kingereza? Yani kuandika kwa kingereza ndio hayo ndio kwako unaita mabadiliko kabisa na maendeleo?

Kweli unadhani kama ni kingereza hakuna watanzania wangeweza kuandika tuu maana mkurugenzi sio kuwa anachapa bali ana hariri !

Halafu kama ni taarifa kwa Watanzania sababu ya kuandika kwa kingereza inaweza kueleweka kweli labda uniambie kila taarifa kutoka ikulu itakuwa na lugha mbili ya kingereza au kiswahili!

Lakini haya sio matarajio na mabadiliko ambayo wanye utimamu wa akili ndio wana tarajia....watanzania wanahitaji zaidi ya lugha!
 
Kwani huduma ya Kiingereza ilikuwa haipo ama ilikuwa suppressed?
 
But sisi ni waswahili kujisifu kutumia lugha ya watu sidhani kama ni sahihi, zaidi nchi anazotembelea Samia ni Ufaransa na Ubelgiji, hawa sidhani kama English ni lugha yao kuu.
 
Hali ya uchumi ni mbaya kingereza kwakweli hakina msaada sana kwa sasa.
 
Inategemea hiyo taarifa inatakiwa kuwafikia wakina nani! Kweli kama ni kuandika kwa kingereza unajaribu kusema kuwa Samia aliamua kumuajri Zuhura kwa sababu tuu akaandike taarifa kwa Umma kwa kingereza? Yani kuandika kwa kingereza ndio hayo ndio kwako unaita mabadiliko kabisa na maendeleo?

Kweli unadhani kama ni kingereza hakuna watanzania wangeweza kuandika tuu maana mkurugenzi sio kuwa anachapa bali ana hariri !

Halafu kama ni taarifa kwa Watanzania sababu ya kuandika kwa kingereza inaweza kueleweka kweli labda uniambie kila taarifa kutoka ikulu itakuwa na lugha mbili ya kingereza au kiswahili!

Lakini haya sio matarajio na mabadiliko ambayo wanye utimamu wa akili ndio wana tarajia....watanzania wanahitaji zaidi ya lugha!
Mbona Zuhura leo ndio ameagwa London? Hayo mabadiliko aliyafanya kwa njia ya 'Whatsapp?'..anyways..yote kheri!
 
Inategemea hiyo taarifa inatakiwa kuwafikia wakina nani! Kweli kama ni kuandika kwa kingereza unajaribu kusema kuwa Samia aliamua kumuajri Zuhura kwa sababu tuu akaandike taarifa kwa Umma kwa kingereza? Yani kuandika kwa kingereza ndio hayo ndio kwako unaita mabadiliko kabisa na maendeleo?

Kweli unadhani kama ni kingereza hakuna watanzania wangeweza kuandika tuu maana mkurugenzi sio kuwa anachapa bali ana hariri !

Halafu kama ni taarifa kwa Watanzania sababu ya kuandika kwa kingereza inaweza kueleweka kweli labda uniambie kila taarifa kutoka ikulu itakuwa na lugha mbili ya kingereza au kiswahili!

Lakini haya sio matarajio na mabadiliko ambayo wanye utimamu wa akili ndio wana tarajia....watanzania wanahitaji zaidi ya lugha!
Hii ngumi ya Chembe, akiamka apewe maji ya vuguvugu na yai bichi. Ha ha ha haaaa!
 
Inategemea hiyo taarifa inatakiwa kuwafikia wakina nani! Kweli kama ni kuandika kwa kingereza unajaribu kusema kuwa Samia aliamua kumuajri Zuhura kwa sababu tuu akaandike taarifa kwa Umma kwa kingereza? Yani kuandika kwa kingereza ndio hayo ndio kwako unaita mabadiliko kabisa na maendeleo?

Kweli unadhani kama ni kingereza hakuna watanzania wangeweza kuandika tuu maana mkurugenzi sio kuwa anachapa bali ana hariri !

Halafu kama ni taarifa kwa Watanzania sababu ya kuandika kwa kingereza inaweza kueleweka kweli labda uniambie kila taarifa kutoka ikulu itakuwa na lugha mbili ya kingereza au kiswahili!

Lakini haya sio matarajio na mabadiliko ambayo wanye utimamu wa akili ndio wana tarajia....watanzania wanahitaji zaidi ya lugha!
Ukisha kuwa masikini wa fikira basi una anza kulamba tamaduni za watu. Dunia ina tushangaaaaaa........ Badala to push kiswahili tunadhani kiswahili ni cha maluga luga.. well
 
Hakika nchi yetu ilikuwa imejitenga kama kakisiwa kasichotaka lugha ya kiEnglish ambayo ni lugha mama ya mahusiano ya kimataifa ktk diplomasia, biashara, technology, elimu, utalii, uvumbuzi wa kisayansi n.k yaani listi ni ndefu kuhusu manufaa ya lugha ya KiEnglish.

Website ya taasisi ya urais Egypt inajua umuhimu wa mawasiliano kufanyika kwa lugha kubwa : source : Presidency of the Arab Republic of Egypt Website

أهلاً وسهلاً بكم في القناة الرسمية لرئاسة جمهورية مصر العريية .. القناة تقدم جميع الأنشطة الرئاسية التي يقوم بها السيد رئيس جمهورية مصر العربية الرئيس "عبد الفتاح السيسي" وهي المرجع الموَثق لجميع الأنشطة الرئاسية لرئاسة جمهورية مصر العربية ‎

Welcome to the official channel of the Presidency of the Arab Republic of Egypt. The channel features all the presidential activities of President Abdel Fattah El-Sisi. It is the only reference for all the activities of the President.

Bienvenue à la chaîne officielle de la Présidence de la République Arabe d'Égypte. La chaîne présente toutes les activités présidentielles du Président Abdel Fattah Al-Sissi, elle est la seule référence documentaire pour toutes les activités du M. le Président
 
Inategemea hiyo taarifa inatakiwa kuwafikia wakina nani! Kweli kama ni kuandika kwa kingereza unajaribu kusema kuwa Samia aliamua kumuajri Zuhura kwa sababu tuu akaandike taarifa kwa Umma kwa kingereza? Yani kuandika kwa kingereza ndio hayo ndio kwako unaita mabadiliko kabisa na maendeleo?

Kweli unadhani kama ni kingereza hakuna watanzania wangeweza kuandika tuu maana mkurugenzi sio kuwa anachapa bali ana hariri !

Halafu kama ni taarifa kwa Watanzania sababu ya kuandika kwa kingereza inaweza kueleweka kweli labda uniambie kila taarifa kutoka ikulu itakuwa na lugha mbili ya kingereza au kiswahili!

Lakini haya sio matarajio na mabadiliko ambayo wanye utimamu wa akili ndio wana tarajia....watanzania wanahitaji zaidi ya lugha!
Hongera...umeeleza vizuri....lakini tumpe muda kwani ndio kwanza ameingia

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini Lugha ya Kiswahili inadharauliwa na waswahili wenyewe?

Bado akili zetu zimeathiriwa na ukoloni wa lugha!!

Watanzania wengi bado mpaka leo wanaamini kuwa mtu anaye weza kuzungumza au kuongea kizungu basi ni msomi mkubwa sana!!
 
Ukisha kuwa masikini wa fikira basi una anza kulamba tamaduni za watu. Dunia ina tushangaaaaaa........ Badala to push kiswahili tunadhani kiswahili ni cha maluga luga.. well
Chako ni Chako, tayari unacho, kuringa nacho na ilhali hakitoshi na wakati huo huo una nafasi ya kutumia vya wengine. Ni hekima kuvitumia. Tufunguke
 
Hii ni Pongezi kwa Kurugenzi ya Habari ya Rais, lakini natambua umuhimu wa Kiswahili. Nashauri wale mliokua allergic na English toka awamu ya 5 basi piteni tu.

Leo baada ya miaka mingi tumeona Kurugenzi ya Rais ikitoa taarifa kwa lugha ya English, Lugha ambayo inawafikia wenzetu wengi wa nje ya dunia ya Kiswahili.

Asante sana Zuhra Yunusi na Tunamshukuru aliependekeza Jina lako. Sasa Tanzania inafunguka. Asante sana Mama Samia

View attachment 2114316

Kila kitu mnasifia
 
Back
Top Bottom