- Thread starter
- #21
Haidharauliwi lakini tunatakiwa pia kuongea lugha za wengi ili tujenge mawasiliano borakwa nini Lugha ya Kiswahili inadharauliwa na waswahili wenyewe?!
bado akili zetu zimeathiriwa na ukoloni wa lugha!!
Watanzania wengi bado mpaka leo wanaamini kuwa mtu anaye weza kuzungumza au kuongea kizungu basi ni msomi mkubwa sana!!