Mbona Zuhura leo ndio ameagwa London? Hayo mabadiliko aliyafanya kwa njia ya 'Whatsapp?'..anyways..yote kheri!Inategemea hiyo taarifa inatakiwa kuwafikia wakina nani! Kweli kama ni kuandika kwa kingereza unajaribu kusema kuwa Samia aliamua kumuajri Zuhura kwa sababu tuu akaandike taarifa kwa Umma kwa kingereza? Yani kuandika kwa kingereza ndio hayo ndio kwako unaita mabadiliko kabisa na maendeleo?
Kweli unadhani kama ni kingereza hakuna watanzania wangeweza kuandika tuu maana mkurugenzi sio kuwa anachapa bali ana hariri !
Halafu kama ni taarifa kwa Watanzania sababu ya kuandika kwa kingereza inaweza kueleweka kweli labda uniambie kila taarifa kutoka ikulu itakuwa na lugha mbili ya kingereza au kiswahili!
Lakini haya sio matarajio na mabadiliko ambayo wanye utimamu wa akili ndio wana tarajia....watanzania wanahitaji zaidi ya lugha!
Hii ngumi ya Chembe, akiamka apewe maji ya vuguvugu na yai bichi. Ha ha ha haaaa!Inategemea hiyo taarifa inatakiwa kuwafikia wakina nani! Kweli kama ni kuandika kwa kingereza unajaribu kusema kuwa Samia aliamua kumuajri Zuhura kwa sababu tuu akaandike taarifa kwa Umma kwa kingereza? Yani kuandika kwa kingereza ndio hayo ndio kwako unaita mabadiliko kabisa na maendeleo?
Kweli unadhani kama ni kingereza hakuna watanzania wangeweza kuandika tuu maana mkurugenzi sio kuwa anachapa bali ana hariri !
Halafu kama ni taarifa kwa Watanzania sababu ya kuandika kwa kingereza inaweza kueleweka kweli labda uniambie kila taarifa kutoka ikulu itakuwa na lugha mbili ya kingereza au kiswahili!
Lakini haya sio matarajio na mabadiliko ambayo wanye utimamu wa akili ndio wana tarajia....watanzania wanahitaji zaidi ya lugha!
Ukisha kuwa masikini wa fikira basi una anza kulamba tamaduni za watu. Dunia ina tushangaaaaaa........ Badala to push kiswahili tunadhani kiswahili ni cha maluga luga.. wellInategemea hiyo taarifa inatakiwa kuwafikia wakina nani! Kweli kama ni kuandika kwa kingereza unajaribu kusema kuwa Samia aliamua kumuajri Zuhura kwa sababu tuu akaandike taarifa kwa Umma kwa kingereza? Yani kuandika kwa kingereza ndio hayo ndio kwako unaita mabadiliko kabisa na maendeleo?
Kweli unadhani kama ni kingereza hakuna watanzania wangeweza kuandika tuu maana mkurugenzi sio kuwa anachapa bali ana hariri !
Halafu kama ni taarifa kwa Watanzania sababu ya kuandika kwa kingereza inaweza kueleweka kweli labda uniambie kila taarifa kutoka ikulu itakuwa na lugha mbili ya kingereza au kiswahili!
Lakini haya sio matarajio na mabadiliko ambayo wanye utimamu wa akili ndio wana tarajia....watanzania wanahitaji zaidi ya lugha!
Hongera...umeeleza vizuri....lakini tumpe muda kwani ndio kwanza ameingiaInategemea hiyo taarifa inatakiwa kuwafikia wakina nani! Kweli kama ni kuandika kwa kingereza unajaribu kusema kuwa Samia aliamua kumuajri Zuhura kwa sababu tuu akaandike taarifa kwa Umma kwa kingereza? Yani kuandika kwa kingereza ndio hayo ndio kwako unaita mabadiliko kabisa na maendeleo?
Kweli unadhani kama ni kingereza hakuna watanzania wangeweza kuandika tuu maana mkurugenzi sio kuwa anachapa bali ana hariri !
Halafu kama ni taarifa kwa Watanzania sababu ya kuandika kwa kingereza inaweza kueleweka kweli labda uniambie kila taarifa kutoka ikulu itakuwa na lugha mbili ya kingereza au kiswahili!
Lakini haya sio matarajio na mabadiliko ambayo wanye utimamu wa akili ndio wana tarajia....watanzania wanahitaji zaidi ya lugha!
Chako ni Chako, tayari unacho, kuringa nacho na ilhali hakitoshi na wakati huo huo una nafasi ya kutumia vya wengine. Ni hekima kuvitumia. TufungukeUkisha kuwa masikini wa fikira basi una anza kulamba tamaduni za watu. Dunia ina tushangaaaaaa........ Badala to push kiswahili tunadhani kiswahili ni cha maluga luga.. well
Hii ni Pongezi kwa Kurugenzi ya Habari ya Rais, lakini natambua umuhimu wa Kiswahili. Nashauri wale mliokua allergic na English toka awamu ya 5 basi piteni tu.
Leo baada ya miaka mingi tumeona Kurugenzi ya Rais ikitoa taarifa kwa lugha ya English, Lugha ambayo inawafikia wenzetu wengi wa nje ya dunia ya Kiswahili.
Asante sana Zuhra Yunusi na Tunamshukuru aliependekeza Jina lako. Sasa Tanzania inafunguka. Asante sana Mama Samia
View attachment 2114316