Pongezi mabadiliko makubwa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais. Asante Zuhura Yunus

kwa nini Lugha ya Kiswahili inadharauliwa na waswahili wenyewe?!
bado akili zetu zimeathiriwa na ukoloni wa lugha!!
Watanzania wengi bado mpaka leo wanaamini kuwa mtu anaye weza kuzungumza au kuongea kizungu basi ni msomi mkubwa sana!!
Haidharauliwi lakini tunatakiwa pia kuongea lugha za wengi ili tujenge mawasiliano bora
 
huna akili. hili nalo la kupongezwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…