Pongezi, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Antipas Lissu

Alikikuta na wabunge 5 je amekiacha na wabunge wangapi
 
Kwani hata siku haijapita, si asubiri kupongezwa ana haraka gani, alafu kwani lazima? Msitu force
 
Majizi ya Ccm hayana raha wabunge wanaenda kupoteza majimbo mengi sana kwa kitendo tu cha Lissu kuwa mwenyekiti wa Cdm
 
Najiuliza hii hali tuliyoiona baada ya matokeo kujulikana,,,kama mshindi angekua ni Mbowe,,,Lissu angeweza kuwa na ujasiri huu aliounesha Mbowe??
 
Msigwa atampongeza kwa niaba ya CCM.
Huko CCM muwe makini na Msigwa,Kila siku siri za chama ,mtazikuta kwa Lissu!
 
Hapa Lumumba hapakaliki soon mkutano wa dharura.......Kingwenduhh anaweza kuwa Waziri wa Utamaduni na futiboru kupunguza Tetemeko la Lissu
 
Watu watachanga mpaka utashangaa. Halafu ruzuku ipo. Kadi zitauzwa. Ni suala la muda tu Chadema will become billionaires.
 
Mh, Lissu huyu Kijana naomba umpatie nafasi hapo makao makuu ili aje aongeze nguvu .
 
Mh, lissu namtabulisha kwako ndugu Robert Heriel ambaye amekuwa akitoa sapot kubwa Kwa Chadema na kwako hasa nyakati za uchaguzi Kama hizi .


Kitaaluma huyu Kijana ni Mwalimu Ila pia ningeomba apewe nafasi ya yeye kuhudumu hapo makao makuu .


Najua utaongeza tija kufanya Kazi na watu smart na wenye maono makubwa.

Asante.🀝🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…