Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Hongera sana gentleman ambae hutakufa 🐒Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana gentleman ambae hutakufa 🐒Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
Huyu jamaa English yake iko smart sana, atakuwa kasoma mtaala wa CambridgeWewe siyo ulisoma tu kwa yale magari ya njano itakuwa ulisoma Angani
Wavimbe wapasukeCcm wamenunaa😁😁😁😁😁
Pale CHADEMA anaenda kupingana na wasomi wa CHADEMA + CCM kwahiyo yupo pori la mwituAweze kuongoza wasomi TLS afu huku chadema pamshinde
TLS kwani kuna nini? Ni watu wanaotetea roll zao , ukileta za kuleta unafutwa na unakula mawe.Aweze kuongoza wasomi TLS afu huku chadema pamshinde
🌤️🙋♂️✍️🎯👌👍👊🤝🙏💐🎁🗼🎖️🛡️Lema was a man of the show.
He has completely dismantled an old blood libel and scandalous rumor that CHADEMA is a CHAGGA Party. CCM's propaganda machine is currently disarmed and docile.
CCM has no other weapon. It's game on.
Personal Advice.
1. Focus on reforms, not election.
2. Be watchful, but never isolate Mbowe.
3. CCM is going indignant and berserk, so use MARIDHIANO to buy yourself time. Use caution, don't turn the tables completely. Be wise, be prudent, play smart.
4. Spend every party resource in rejuvenating grassroot party branches, and enhance transparency in expenditure.
5. The main agenda for CHADEMA, 2025 and beyond, should be themed upon Major Constitutional Reforms. This will help, transform CHADEMA from a mere political party into a living ideology, making a party relevant for the coming years.
Jamaa kweli ni mpango wa Mungu !mbowe nilikuwa namshangaa sana
(1)anashindanaje na mtu kutoka darasa latatu alijitambua na kugoma kufanya kazi za kikoloni kama kuwahi shule na hajawahi pigwa
(2) Amerushuwa risasi zaidi ya 36 16 zimepiga mwili na bado mzima ?
Uandikishaji wa kidogitali ushike kasi hasa wakati hui ambao hamasa ni ya moto zaidi.Hayawi hayawi sasa yamekuwa,...
Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Sana Mh. Lisu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, pongezi hizi zinaenda sambamba kwa viongozi wote wanaomfuatia akiwemo Makamu Mwenyekiti wake Mh. John Heche na wote watakaofuatia .
Wadau mnaoitakia mema CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu A. Lissu,
Naomba tuweze kutoa maoni yetu namna gani Chama kinaweza kujiendesha kwa tija na kutwaa madaraka kwa nafasi mbalimbali zinazokuja katika chaguzi zijazo.
ndio demokrasia ya kweli, sio ule upumbavu wa IdodomyaWamedhihirisha kwa vitendo kwamba ni chama cha demokrasia, sio wale wa wagombea wa surprise.
TAL ana kazi ya kujenga Chama kiwe imara hana muda na majungu, BYEEE✌️✌️✌️Wewe naye ulikuwa wapi? Hayo yalishapita, sasa hivi tuko kwenye sherehe. Aliyeshindwa kakubali matokeo. Wewe unatokea wapi kuyasema haya sasa? Hakuna atakayeombwa msamaha, TAL ana kazi ya kujenga Chama kiwe imara hana muda na majungu, BYEEE✌️✌️✌️
Itapendeza sana CAHDEMA ikiacha kumtegemea Mbowe kifedhaWakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Mh Mwenyekiti / Makam Mwenyekiti Taifa (Lissu / Heche) hongereni kwa ushindi uliotukuka, na amani ya Bwana ikawe juu yenu ,katika tekeleza majukum yenu, na imekua chini ya Mungu wetu ,atupae Pumzi.
Rejea mada tajwa hapo juu,
Msitishwe kwamba mtaendeshaje chama , wenye chama ni wanachama ambao mie ni mmoja wapo , pesa zipo kwetu , ni jukum lenu tangaza utaratibu wa mapema kwanza na haraka iwezekanavyo tuanze wapatia mapesa ili muendeshe chama bila stress.
kazi yunu ni moja tu ,kutupatia namna ya kuwakilisha michango , mimi kama mbangaizaji nipo na laki na hamsini mfukoni ,kama kianzio cha mchango wangu binafsi ,sina utaratibu naitumaje kwenye chama.
Tafadhali sana tupeni utaratibu.
Thanks
Inamtegmea kivipi mkuu ?Itapendeza sana CAHDEMA ikiacha kumtegemea Mbowe kifedha
Ni mda wa chama kusimama ,nia ipo ,waweke utaratibu tuItapendeza sana CAHDEMA ikiacha kumtegemea Mbowe kifedha
Tupo tayari wekeni mpango kazi tuanze kazi.Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Mh Mwenyekiti / Makam Mwenyekiti Taifa (Lissu / Heche) hongereni kwa ushindi uliotukuka, na amani ya Bwana ikawe juu yenu ,katika tekeleza majukum yenu, na imekua chini ya Mungu wetu ,atupae Pumzi.
Rejea mada tajwa hapo juu,
Msitishwe kwamba mtaendeshaje chama , wenye chama ni wanachama ambao mie ni mmoja wapo , pesa zipo kwetu , ni jukum lenu tangaza utaratibu wa mapema kwanza na haraka iwezekanavyo tuanze wapatia mapesa ili muendeshe chama bila stress.
kazi yunu ni moja tu ,kutupatia namna ya kuwakilisha michango , mimi kama mbangaizaji nipo na laki na hamsini mfukoni ,kama kianzio cha mchango wangu binafsi ,sina utaratibu naitumaje kwenye chama.
Tafadhali sana tupeni utaratibu.
Thanks