Pongezi, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Antipas Lissu

Pongezi, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Antipas Lissu

Nilijitoa kumpigia kampeni Lissu online na offline.
Kuna vitu nilitegemea nianze kuviona mapema akishachukua madaraka lakini ni kama ameanza kwa kuniangusha.
Nilitegemea anao mpango wa reconciliation na punde baada ya uchaguzi ataanza kutekeleza mpango wa kuunganisha chama na kutibu majeraha. Lakini naona ilo sio kipaumbele chake.
Ni muhimu sana kuunganisha chama kizungumze lugha moja kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa October, watu wamejeruhiwa vibaya sana na ni watu tunaowahitaji kujenga chama na kujiandaa kuiondoa CCM madarakani.

Kingine ameshangaza ni kuona hana mipango yoyote kuhusu pesa za kuendesha operation za chama hata vikao vya kikatiba. Yeye naona bado yuko kwenye mood ya kumshambulia Mbowe maana nimeona kaenda media kusema ishu za Mbowe kukifadhili chama, yeye atatoa wapi pesa anasema ataongea na wanachama atapataje pesa. Kiongozi unakosa vision na mission? Sasa kwa style hii tutafika kweli? Chairman anakimbilia media kufanya interview za kitoto huku hana financial plan?
Kingine ni hili la kuanzisha kampeni ya Mama Samia na wabunge wa CCM waongezewe muda ili ndio sijalielewa kabisa yani. Sasa wote tunajua katiba inachukua mpaka 4 years kuweka kuipata inamaana Samia aendelee mpaka 2029 alafu ndio twende kwenye uchaguzi? Na what if hiyo miaka minne au mitano CCM watakuwa hawajatupa katiba mpya tunawaongezea muda au tunafanyaje? Kwa nini solution yake ni kuona Mama Samia anaongezewa muda kuna nini hapa kinaendelea? Anakatisha tamaa ni kama akujua akishakuwa mwenyekiti afanye ninu hayo maandamano wabongo ndio hawataki kusikia leo hii ataenda barabarani akiwa na mass hipi,

Acha nipumzike walau mwezi mmoja nione mipango yake labda its too early to judge.
ulikuwa mjinga kaapembeni werevu wanajua kazi yake
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,...

Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Sana Mh. Lisu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, pongezi hizi zinaenda sambamba kwa viongozi wote wanaomfuatia akiwemo Makamu Mwenyekiti wake Mh. John Heche na wote watakaofuatia .

Wadau mnaoitakia mema CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu A. Lissu,

Naomba tuweze kutoa maoni yetu namna gani Chama kinaweza kujiendesha kwa tija na kutwaa madaraka kwa nafasi mbalimbali zinazokuja katika chaguzi zijazo.
Kaaa pembeni nkabida huitajiki na hujaombwa, kilikuwa kimbelembele chako tu
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,...

Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Sana Mh. Lisu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, pongezi hizi zinaenda sambamba kwa viongozi wote wanaomfuatia akiwemo Makamu Mwenyekiti wake Mh. John Heche na wote watakaofuatia .

Wadau mnaoitakia mema CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu A. Lissu,

Naomba tuweze kutoa maoni yetu namna gani Chama kinaweza kujiendesha kwa tija na kutwaa madaraka kwa nafasi mbalimbali zinazokuja katika chaguzi zijazo.
Ulitaka nini wewe mbwiga? Mwenzako Bado anapanga safi yake ya uongozi wewe unaharisha kande humu!!

Miaka 20 ya Mbowe na ujinga wake hatukukusikia unahoji, lakini siku 2 tu za Lissu umeanza kuharisha!!

Jinge kweli wewe
 
Lema was a man of the show.

He has completely dismantled an old blood libel and scandalous rumor that CHADEMA is a CHAGGA Party. CCM's propaganda machine is currently disarmed and docile.

CCM has no other weapon. It's game on.

Personal Advice.
1. Focus on reforms, not election.

2. Be watchful, but never isolate Mbowe.

3. CCM is going indignant and berserk, so use MARIDHIANO to buy yourself time. Use caution, don't turn the tables completely. Be wise, be prudent, play smart.

4. Spend every party resource in rejuvenating grassroot party branches, and enhance transparency in expenditure.

5. The main agenda for CHADEMA, 2025 and beyond, should be themed upon Major Constitutional Reforms. This will help, transform CHADEMA from a mere political party into a living ideology, making a party relevant for the coming years.​
On top of that,
1. Michango ya hiari ndani na nje ya nchi ya kukiwezesha chama ianzishwe kama siyo kuimarishwa mara moja. Mbowe na rafiki zake walikifadhili chama sana. Kazi ipo
 
Ulitaka nini wewe mbwiga? Mwenzako Bado anapanga safi yake ya uongozi wewe unaharisha kande humu!!

Miaka 20 ya Mbowe na ujinga wake hatukukusikia unahoji, lakini siku 2 tu za Lissu umeanza kuharisha!!

Jinge kweli wewe
Siyo makosa yako.

Nimekusamehe bure mdogo wangu
 
Mwenyekiti wa Chadema Mh.Lissu ameendelea kumwita Mh.Mbowe Mwenyekiti. Akihojiwa na Salim Kikeke mara zote amekuwa akimwita hivyo.

Kwa maoni yangu, Hii ni heshima kubwa kwa Mbowe kutoka kwa Lissu na kunapaswa kuichukulia hivyo
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,...

Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Sana Mh. Lisu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, pongezi hizi zinaenda sambamba kwa viongozi wote wanaomfuatia akiwemo Makamu Mwenyekiti wake Mh. John Heche na wote watakaofuatia .

Wadau mnaoitakia mema CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu A. Lissu,

Naomba tuweze kutoa maoni yetu namna gani Chama kinaweza kujiendesha kwa tija na kutwaa madaraka kwa nafasi mbalimbali zinazokuja katika chaguzi zijazo.
Tuanze na maoni yako ndugu mtoa mada

Tunatamani Lissu aupige mwingi hadi sisi tusio na vyama tuchukue kadi za Chadema.
 
Najiuliza hii hali tuliyoiona baada ya matokeo kujulikana,,,kama mshindi angekua ni Mbowe,,,Lissu angeweza kuwa na ujasiri huu aliounesha Mbowe??
Mbowe tamaa yake imemponza
Lazima ajikaze kuzuga

Hata hivyo, tunamshukuru Kwa kukubali ukweli.
 
Tuanze na maoni yako ndugu mtoa mada

Tunatamani Lissu aupige mwingi hadi sisi tusio na vyama tuchukue kadi za Chadema.
Mkuu angalia zaidi thread zilizotangulia tiyari nilishaanza kutoa maoni yangu, hata hivyo bado nitaendelea kutoa maoni kupitia Uzi huu
 
Chama kiangalie namna bora ya kujikusanyia mapato ili kijiendeshe vyema
 
Mkuu angalia zaidi thread zilizotangulia tiyari nilishaanza kutoa maoni yangu, hata hivyo bado nitaendelea kutoa maoni kupitia Uzi huu
Sawa Mkuu
Hongereni wachagga kwa kumuunga mkono Lissu
Sasa rasmi Chadema ni chama cha watanzania wote, na tutachukua kadi.
 
Naungana na wapenda Mabadiliko wote nchini kumpongeza Mh Tundu Lissu kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa.

Ni ukombozi kwa nchi, Chama na wapenda demokrasia wote ulimwengu.

Mungu amtangulie katika kazi zake na majukumu yake mapya.

Wengi tutamuunga mkono
 
Benson ulikua huna bando au simu ilikua Kwa fundi?

Kazi kutibua maumivu ya watu tu huko waliko.
 
Amesema ataishitaki TIGO lkn kimya.
Pesa za gari alizochangiwa na maria zimeenda wapi?
Ni wazi Lissu hakuna analofika nalo mwisho wa safari.
Tutegemee chadema kuachwa njiani mbele ya safari
 
Back
Top Bottom