Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Msianze utapeli, ruzuku inatosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe sio mwenyekiti tena acheni kumtaja taja mbowe ni mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA na BusinessmanItapendeza sana CAHDEMA ikiacha kumtegemea Mbowe kifedha
Waache, watamkumbuka Mbowe,Msianze utapeli, ruzuku inatosha.
Mbowe yeye ndo alinufaika kupitia chadema ila alifanikiwa kutengeneza mazingira ionekane yeye ndo anasaidia chamaItapendeza sana CAHDEMA ikiacha kumtegemea Mbowe kifedha
Mbowe hawezi kukumbukwa alitumia jina la chama kujichotea pesa serekalini ili afanye siasa lainiWaache, watamkumbuka Mbowe,
Lisu hana influence yoyote mbele ya fadhili na wafanyabiashara.
Mlala hoi wa 150k hawezi ku support kila shughuli mwisho atachoka.
Kama chamani kwako ingetosha kodi ya mlala hoi ingekuwa salama na matokeo ysngeonekana kwenye maendeleo ya haraka.Msianze utapeli, ruzuku inatosha.
Kamdomo hako, ccm mbona bado ruzuku haiwatoshi pamoja na kupokea mapesa mengi,Msianze utapeli, ruzuku inatosha.
Lisu ameahidi ruzuku itafika mpaka mashinani, sasa msianze utapeli wa kutaka kuanza kukamuwa maskini.Kama chamani kwako ingetosha kodi ya mlala hoi ingekuwa salama na matokeo ysngeonekana kwenye maendeleo ya haraka.
Chama ni watu na watu ndio sisi hata ruzuku inapatikana kwa uwepowa watu,tutajichanga hata kama mtatuonea wivu.Chama lazima isimsme.Lisu ameahidi ruzuku itafika mpaka mashinani, sasa msianze utapeli wa kutaka kuanza kukamuwa maskini.
Humu mmejaa mataahira, tafiti kampuni ya ccm Jitegemee holdings company limited inamiliki nini?Kamdomo hako, ccm mbona bado ruzuku haiwatoshi pamoja na kupokea mapesa mengi,
Badala wekeza kwa wanachama wajimudu mnanunua mabasi,
Note ,
Siku za ccm Mungu alishazifuta, asema Bwana , sio mda machawa wa ccm mtaanza okota makopo
Milioni 100 kwa mwezi ni ruzuku nzuri??Inamtegmea kivipi mkuu ?
Chama ambacho kinapata ruzuku nzuri tu.
Basi karibu japo kwa mchango wa mawazo kwa chama bora zaidi TZ na Africa.Humu mmejaa mataahira, tafiti kampuni ya ccm Jitegemee holdings company limited inamiliki nini?
Ukiacha asset za ccm Jitegemee wanamiliki mgodi wa makaa ya mawe Mbinga wenye Pit 7, wewe endelea kuzungusha ngumi tu.
Hakuna mtu timamu anaweza kushabikia ccm, ila wazungusha ngumi kila mtu ambaye yupo kinyume na mitazamo yenu mnampachika uccm.
Wanachama wake wapo tayari kuchangia chama?Ni mda wa chama kusimama ,nia ipo ,waweke utaratibu tu
Kwa maskini mmoja ni nzuri ila kwa chama na chama kikubwa kama Chadema hiyo ni sawa na punje ya sukariMilioni 100 kwa mwezi ni ruzuku nzuri??
Nyie wala milungula tulieni. Acha chama kijengwe na kusukwa. Tunamshukuru mbowe kwa demokrasia ya kukubali matokeoHuo ndio ukweli wenyewe.
Wanachama wanaomkubali ni sawa wanaomkubali Mbowe ni wala rushwa.
Ikiwa walikuwa wanapata mil 300 mwaka 2015-2020 Ila bado hakuna aliyekuwa analipwaMilioni 100 kwa mwezi ni ruzuku nzuri??