Pongezi, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Antipas Lissu

Pongezi, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Antipas Lissu

Waache, watamkumbuka Mbowe,
Lisu hana influence yoyote mbele ya fadhili na wafanyabiashara.
Mlala hoi wa 150k hawezi ku support kila shughuli mwisho atachoka.
Mbowe hawezi kukumbukwa alitumia jina la chama kujichotea pesa serekalini ili afanye siasa laini
 
Hamjambo wote!

Mwanzoni wa Mwaka huu nilisikia Clip Moja ambayo ilikuwa ni Sauti ya Nabii Mmoja akijaribu kueleza maono aliyoonyeshwa na miungu yake.
Yule mtu aliyejitambulisha kama Nabii akawa anaeleza kuwa mwaka huu kuna msiba wa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa ameuona.

Hakusema ni mwenyekiti yupo, hakusema ni mstaafu au aliyepo madarakani.
Akaendelea kusema watu waombe Sana lakini hata hivyo maono yake yakamuomyesha haitawezekana atakufa.

Baada ya kusikia Maneno hayo, nami nikasema isiwe kesi Acha niangalie na kuuliza uliza kuhusu habari hizo kama zina ukweli kiasi gani.
Ripoti yangu ikanionyesha kuwa ni kweli huenda Jambo hilo linaweza kutokea. Lakini ripoti Ile nilipoifuatilia zaidi ikanionyesha kuwa Jambo hilo linaweza kutokea ikiwa kuna mtu ndani ya CHADEMA atadhulumiwa kwenye Uchaguzi uliokuwa bado haujafanyika.

Sasa huyo mtu ripoti haikumtaja kuwa ni nani wala huyo Mwenyekiti hakutajwa. Ila kulikuwa na Lugha za picha na michoro.

Sasa mimi kwa akili zangu ndogo nikajua mtu aliyekuwa kwenye Ile ripoti na mwenye hatihati ya kudhulumiwa nafasi yake nikajua atakuwa ni Lisu.
Ripoti inaeleza kuwa mtu huyo anaalama ya miungu.

Ndipo nikaandika huu uzi Tahadhari: Tatizo la Lissu ana "MUKU" ya MIUNGU Ukimdhulumu lazima ufe.

Ingawaje wapo waliosema natumia Mbinu ya vitisho lakini ukweli ni kuwa nilieleza Yale yaliyomo kwenye ripoti
Zingatia, sio kila ninachoandika kinatokana na ripoti hizo.
Mengine ni maoni na mitazamo yangu binafsi, mengine ni just for funny, mengine kutaka kujadiliana na kuwasiliana na watu.

Ripoti inaeleza kuwa, mtu huyo asiye na jina(hakutajwa jina) alikuwa na Sababu ya kuishi (reason to Live) Mimi bado Kura yangu ikawa inamuangukia LISU.

Nikaandika Mada Ile nikilenga isitokee dhulma kwa mtu huyo ili kuepusha Kifo cha Mwenyekiti ambaye hakutajwa jina.

Lakini ripoti chini Kabisa inaeleza, ikiwa mtu huyo ambaye anachapa ya reason to Live akakengeuka basi kuna Hatari ya yeye mwenyewe Kufa. Nikasema eeh!

Kifo chake kwenye ripoti kinaelezwa kuwa kitakuwa cha ghafla Sana. Atakutwa amelala kitandani amekufa. Hiyo ni ripoti hiyo. Yaani hakitakuwa kifo cha kuuawa Wala kufanyiwa hila Wala Njama. Atakufa paap! Bila Mkono WA binadamu kuhusika.

Yule Nabii ametabiri yake. Mimi kama Mtibeli nimezuia utabiri huo lakini nimeona nitoe sehemu ya kilichopo kwenye Ile ripoti. Labda kwa sehemu itasaidia.

Nitatafuta kiambatanisho cha Sauti ya huyo Nabii nikiweke hapa. Pia kama kuna mtu anacho anaweza kuiweka kwa Sababu sio kwamba nilitumiwa Mimi Bali Mimi mwenyewe nilikisikia mtandaoni.

Nawatakia siku Njema
 
Msianze utapeli, ruzuku inatosha.
Kamdomo hako, ccm mbona bado ruzuku haiwatoshi pamoja na kupokea mapesa mengi,

Badala wekeza kwa wanachama wajimudu mnanunua mabasi,

Note ,

Siku za ccm Mungu alishazifuta, asema Bwana , sio mda machawa wa ccm mtaanza okota makopo
 
Kama chamani kwako ingetosha kodi ya mlala hoi ingekuwa salama na matokeo ysngeonekana kwenye maendeleo ya haraka.
Lisu ameahidi ruzuku itafika mpaka mashinani, sasa msianze utapeli wa kutaka kuanza kukamuwa maskini.
 
Thanks Mods , kwa kuniwekea kichwa cha Mada yangu Murua kabisa ,Mungu awabariki
 
Lisu ameahidi ruzuku itafika mpaka mashinani, sasa msianze utapeli wa kutaka kuanza kukamuwa maskini.
Chama ni watu na watu ndio sisi hata ruzuku inapatikana kwa uwepowa watu,tutajichanga hata kama mtatuonea wivu.Chama lazima isimsme.
 
Kamdomo hako, ccm mbona bado ruzuku haiwatoshi pamoja na kupokea mapesa mengi,

Badala wekeza kwa wanachama wajimudu mnanunua mabasi,

Note ,

Siku za ccm Mungu alishazifuta, asema Bwana , sio mda machawa wa ccm mtaanza okota makopo
Humu mmejaa mataahira, tafiti kampuni ya ccm Jitegemee holdings company limited inamiliki nini?

Ukiacha asset za ccm Jitegemee wanamiliki mgodi wa makaa ya mawe Mbinga wenye Pit 7, wewe endelea kuzungusha ngumi tu.

Hakuna mtu timamu anaweza kushabikia ccm, ila wazungusha ngumi kila mtu ambaye yupo kinyume na mitazamo yenu mnampachika uccm.
 
Humu mmejaa mataahira, tafiti kampuni ya ccm Jitegemee holdings company limited inamiliki nini?

Ukiacha asset za ccm Jitegemee wanamiliki mgodi wa makaa ya mawe Mbinga wenye Pit 7, wewe endelea kuzungusha ngumi tu.

Hakuna mtu timamu anaweza kushabikia ccm, ila wazungusha ngumi kila mtu ambaye yupo kinyume na mitazamo yenu mnampachika uccm.
Basi karibu japo kwa mchango wa mawazo kwa chama bora zaidi TZ na Africa.
 
Huo ndio ukweli wenyewe.
Wanachama wanaomkubali ni sawa wanaomkubali Mbowe ni wala rushwa.
Nyie wala milungula tulieni. Acha chama kijengwe na kusukwa. Tunamshukuru mbowe kwa demokrasia ya kukubali matokeo
 
Viongozi wote wakubwa wawe na account za mitandao ya kijamii na wawe wanapost picha, video na sauti mara kwa mara angalau mara moja kwa siku. Mitandao yote Instagram, Facebook ,Twitter, TikTok, YouTube n.k

Pia wapost account ya benki ya chadema, lipa namba, namba ya watu wachangie hela chama
 
Back
Top Bottom