Pongezi, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Antipas Lissu

Pongezi, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Antipas Lissu

Una mshauri kitu gani mtu ambae yupo coached na wazungu.

Na mwenyewe alivyo ropo-ropo afichi; anaweka wazi kabisa huko ubelgiji inabidi aende mara kwa mara kuongea na washauri wake.

Sasa, wewe utamshauri nini
 
Ikiwa walikuwa wanapata mil 300 mwaka 2015-2020 Ila bado hakuna aliyekuwa analipwa
Hawalipwi mishahara ila wapo wanaolipwa posho za chakula, malazi na usafiri wanapoenda kwenye mikutano na kazi za chama.
 
Una mshauri kitu gani mtu ambae yupo coached na wazungu.

Na mwenyewe alivyo ropo-ropo afichi; anaweka wazi kabisa huko ubelgiji inabidi aende mara kwa mara kuongea na washauri wake.

Sasa, wewe utamshauri nini
Wazungu wameibadili sana Africa kwa mema mengi sana tangu enzi za ukoloni mpaka sasa, ni vizuri kushauriwa na wenye akili kubwa waliokutangulia au kukuzidi.
 
Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.

Mh Mwenyekiti / Makam Mwenyekiti Taifa (Lissu / Heche) hongereni kwa ushindi uliotukuka, na amani ya Bwana ikawe juu yenu ,katika tekeleza majukum yenu, na imekua chini ya Mungu wetu ,atupae Pumzi.

Rejea mada tajwa hapo juu,

Msitishwe kwamba mtaendeshaje chama , wenye chama ni wanachama ambao mie ni mmoja wapo , pesa zipo kwetu , ni jukum lenu tangaza utaratibu wa mapema kwanza na haraka iwezekanavyo tuanze wapatia mapesa ili muendeshe chama bila stress.

kazi yunu ni moja tu ,kutupatia namna ya kuwakilisha michango , mimi kama mbangaizaji nipo na laki na hamsini mfukoni ,kama kianzio cha mchango wangu binafsi ,sina utaratibu naitumaje kwenye chama.

Tafadhali sana tupeni utaratibu.

Thanks
Tundu Lisu si alisema kuna pesa kibao makao makuu michango ya nini sasa?
 
Wazungu wameibadili sana Africa kwa mema mengi sana tangu enzi za ukoloni mpaka sasa, ni vizuri kushauriwa na wenye akili kubwa waliokutangulia au kukuzidi.
If only, it were that simple.
 
Lema was a man of the show.

He has completely dismantled an old blood libel and scandalous rumor that CHADEMA is a CHAGGA Party. CCM's propaganda machine is currently disarmed and docile.

CCM has no other weapon. It's game on.

Personal Advice.
1. Focus on reforms, not election.

2. Be watchful, but never isolate Mbowe.

3. CCM is going indignant and berserk, so use MARIDHIANO to buy yourself time. Use caution, don't turn the tables completely. Be wise, be prudent, play smart.

4. Spend every party resource in rejuvenating grassroot party branches, and enhance transparency in expenditure.

5. The main agenda for CHADEMA, 2025 and beyond, should be themed upon Major Constitutional Reforms. This will help, transform CHADEMA from a mere political party into a living ideology, making a party relevant for the coming years.​
Gwamaka Uswege Wa Mbarali Mbeya, Wewe Na Kiingereza Wapi na Wapi Masta....???
 
Ajifunze muundo wa CCM na Katiba yake ,kanuni na miongozo mbali mbali.
2. Ajifunze muudo wa kamati ya siasa za CCM ngazi ya Wilaya ma Mkoa.
3. Kamati za ulinzi na usalama za Wilaya na Mkoa.

JIFUNZE MUUINGILIANO WA WAJUMBE NAMBA 2 NA 3

Ukimaliza kujifunza hili utagundua kuwa CCM ni Serikali, na Serikali ni CCM.
LISSU UKISOMA SAWA SAWA UTANIKUMBUKA
 
Wakuu

Tuliokua tunawaambia Lissu ni jamii ya watu wavivu wanaopenda kuongea tu bila vitendo mtakua mshaanza kutuelewa.

Mheshimiwa Mbowe alikua mchapa kazi kweli kweli ila ndio hivyo demokrasia imemkataa. Lissu toka achaguliwe hashindi ofisini, anashinda nyumbani tu. Nasikia eti anataka kuchangisha pesa za kuanza ziara ya kujitambulisha mikoani, sijajua anaenda kujitambulisha kwa nani asiyemjua nchi hii.

Labda mnisaidie kuniambia toka Lissu achaguliwe amefanya kazi gani ya maana ndani ya chadema?
 
Anazunguka kwenye media kuropoka eti atazuia uchaguzi kwa maandamano 😂😂😂
 
Ni wakati wa mapumziko kidogo, kukesha siku 3 mfululizo jamani mwacheni atulie kwanza ama mlitakaje watanganyika nyie bana.
 
Wakuu
Tuliokua tunawaambia lisu ni jamii ya watu wavivu wanaopenda kuongea tu bila vitendo mtakua mshaanza kutuelewa.
Mheshimiwa Mbowe alikua mchapa kazi kweli kweli ila ndio hivyo demokrasia imemkataa.
Lisu toka achaguliwe hashindi ofisini,anashinda nyumbani tu akilewa konyagi.nasikia eti anataka kuchangisha pesa za kuanza ziara ya kujitambulisha mikoani,sijajua anaenda kujitambulisha kwa nani asiyemjua nchi hii.
Labda mnisaidie kuniambia toka Lisu achaguliwe amefanya kazi gani ya maana ndani ya chadema?
Haya Naona Umeshaingiza Siku Mkuu Wako Wa Propaganda Ameshaiona Upo Kwenye Orodha Ya Kupata Posho Leo
 
Ni wakati wa mapumziko kidogo, kukesha siku 3 mfululizo jamani mwacheni atulie kwanza ama mlitakaje watanganyika nyie bana.
Mwenzie Trump wameingia wote siku moja madarakani,ila tayari keshaanza kuchapa kazi..yeye kutwa kushinda anakunywa konyagi tu.
 
Wakuu
Tuliokua tunawaambia lisu ni jamii ya watu wavivu wanaopenda kuongea tu bila vitendo mtakua mshaanza kutuelewa.
Mheshimiwa Mbowe alikua mchapa kazi kweli kweli ila ndio hivyo demokrasia imemkataa.
Lisu toka achaguliwe hashindi ofisini,anashinda nyumbani tu akilewa konyagi.nasikia eti anataka kuchangisha pesa za kuanza ziara ya kujitambulisha mikoani,sijajua anaenda kujitambulisha kwa nani asiyemjua nchi hii.
Labda mnisaidie kuniambia toka Lisu achaguliwe amefanya kazi gani ya maana ndani ya chadema?
Mfuate Mikocheni ukamfulie boxer. Ulitaka Lissu akiingia ofisini aitishe press waone anavyofanya kazi? Ya kwenu huko CCM yamewashinda mnahangaika na Lissu.
 
Najua wengi mtashangaa kwanini kichwa cha habari kipo hivyo. Ila wenye akili walishang'amua mapema sana kuwa CCM ilimtaka Lissu kwenye uenyekiti wa CHADEMA. Hii ni baada ya kuona Lissu atasaidia CCM kuondoa nguvu ya CHADEMA. Uongozi bila busara sio uongozi. Kutokana na Lissu kutokuwa na busara wala hekima za kiuongozi basi CHADEMA itazidi kuwa dhaifu sana chini yake kwa sababu ya teams zilizojitokeza. Umoja hautakuwepo tena kama ulivyokuwepo chini ya Sultani Mbowe.

Haikujitaji akili nyingi kujua kuwa wajumbe watapiga kura za hasira kwa Lissu ili kuikomoa CCM iliyoonyesha inamsapoti Mbowe. Nitakuwa mchoyo wa shukrani nisipowashukuru Yericko na Ntobi kwa kuporomosha maneno ya hovyo yaliyosaidia kuongeza hasira za wajumbe. "MBOWE NI ALFA NA OMEGA" ilikuwa kauli ya kibunifu sana iliyochochea hasira za wajumbe.

Pamoja na kosa la kiufundi alilofanya mstaafishwa Mbowe kwa kuwateua waropokaji kuwa mstari wa mbele kwenye kampeni zake ila dunia itamkumbuka kwa kuheshimu demokrasia. TUKIWEKA TOFAUTI ZETU ZA KIITIKADI PEMBENI itoshe kusema kwamba Januari 21, 2025 itakumbukwa kwa uchaguzi bora zaidi wa kidemokrasia ndani ya Tanzania. Hii imechangia sana na Rais Samia kuheshimu demokrasia na utawala wa kisheria.
 
Kwa nini Ccm mna mpigania au mnamhitaji Mbowe kuliko Lissu?
 
Ni comment? Au umeuweka tu hapa ili ukauke? Au umekudondoka kwa bahati mbaya?
 
Wewe ndio ulikuwa unatuambia hapa kuwa "Sisi CCM" tunamtaka Mbowe,Leo ameshinda Lissu unasema ndiye mliyemtaka!!
CCM wa wapi wewe?
 
Back
Top Bottom