Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha

Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
31,913
Reaction score
65,514
Kwako ndugu na Kaka yangu National Anthem, Tumekuwa marafiki wa muda mrefu katika dunia hii ya Kufikirika.

Furaha yako imekuwa furaha yangu pia, nichukue fursa hii kukupongeza wewe na mkeo kwa kufanikiwa kupata watoto mapacha siku ya jana😍😍.

Kheri ikawe kwenu na kwa familia yenu, nawa ahidi sitokuja kula sana endapo Nita alikwa 😂
😆.

👉note: nadhani hi ni wiki ya baraka kwa team jf usiku wa manane, kwani ndugu zetu watatu trudie, Mr kenice na national anthem wamepata watoto.

TANZIA: tunasikitika kutangaza msiba wa mapacha Hawa, tunaiombea kheri familia ya National Anthem katika kipindi kigumu.


👉 I mean no malice to nobody, Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉Roho begani
FB_IMG_16828653532946639.jpg


👉Picha haihusiani na taarifa.
 
Back
Top Bottom