Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya maandishi yaacheni kama yalivyo.Neno linaloitwa UKWELI ni somo zuri sana.
Mimi huwa sipendi longolongo ndo maana naishi happy.
Jamaa anasema anasaka mwenza lakini hajawahi kubahatika kila akitongoza anakula za pua.
Kumbe kapata mapacha.
Hongera zake sana🤣
Asante 🙏🙏- kwa niaba yakeMkuu National Anthem Mungu akusimamie uwalee katika misingi yake...dunia imeharbika mno..
Yalikuja kwa meli na mitumbwi😂😆. 👉 I mean no malice to nobodyMambo ya maandishi yaacheni kama yalivyo.
Asante 🙏🙏- kwa niaba yakeHongera kwake jmn
Hii movie itakuwa na hitimisho lengwa🤣🤣 anatupanga.?!
Hili la leo amenaswa sio 🤣Hii movie itakuwa na hitimisho lengwa
Sina imani naye 1000%Ngoja Tuanze Kumfuatilia Maana Thread Hii Nadhani Ya Pili Ama Tatu Zote Kuhusu Uzazi
Tunafuatilia Kwa Karibu Na Kuwauliza Aliowataja Baadaye Ataanza Kutuchangisha Huyu
Najua huwa huingizwi kingi kizembe🤣Hili la leo amenaswa sio 🤣
Asante 🙏🙏- kwa niaba yakeHongera sana Mkuu.
Kila la kheri.
Mkuu sie tukae palee tuusome huu mchezo na popcon 😃😃Hii movie itakuwa na hitimisho lengwa
Vuta Subira😇
I don't even need your trust, Niko close Sana na hao watu.Sina imani naye 1000%
Mpe Hongera.
Mwambie Mamndenyi anatafuta kazi ya uyaya
Msajili wa vizazi- jf 😁Unaamilni hili?
Je huyu member ni kweli anataarifa ya wazazi wa jf kiasi hiki?
I mean no malice to nobody, mbona chuki Sana. Una jifanya mtabiri😆😂Hii movie itakuwa na hitimisho lengwa
National Anthem atakuja hapa bila shakaI don't even need your trust, Niko close Sana na hao watu.
👉Unaeza wafuata pm, ku confirm hiloo🤔🤔
👉Damn esculando