Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha

Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha

Umeanza mbali sana, ila sijui chuki inatoka wapi mkuuπŸ€”πŸ€”
Mkuu siwezi kumchukia mtu nisiyemfahamu.
Sina sababu na haitotokea.

Hofu yangu naona kama vile uzi ni wa kufurahisha tu.
Hii ni jf nimeona mengi, kabla ya kuamini jambo huwa napenda kujiridhisha.

Humu masihara ni ruksa so nisipoamini kirahisi sio rambi.
Mkuu siwezi kukuchukia hujawahi nikosea
 
I mean no malice to nobody, Hawa Ni marafiki zangu was karibu.
πŸ‘‰ Taarifa hizi nimepokea kutoka kwao, nikaona SI Jambo baya nikiwapongeza
 
Kwako ndugu na Kaka yangu National Anthem, Tumekuwa marafiki wa muda mrefu katika dunia hii ya Kufikirika.

Furaha yako imekuwa furaha yangu pia, nichukue fursa hii kukupongeza wewe na mkeo kwa kufanikiwa kupata watoto mapacha siku ya jana😍😍.

Kheri ikawe kwenu na kwa familia yenu, nawa ahidi sitokuja kula sana endapo Nita alikwa πŸ˜‚
πŸ˜†.

πŸ‘‰note: nadhani hi ni wiki ya baraka kwa team jf usiku wa manane, kwani ndugu zetu watatu trudie, Mr kenice na national anthem wamepata watoto.

πŸ‘‰ I mean no malice to nobody, Sera zetu πŸ‘‰ Panga mkononi
πŸ‘‰Roho begani
View attachment 2605160

πŸ‘‰Picha haihusiani na taarifa, moderators msiufute uzi wangu tafadhali, hii ni taarifa rasmi.
Congratulations πŸŽ‰πŸ‘πŸŽ‰πŸŽ‰ kwake #ASAP
Mm pia soon πŸ”œπŸ”œ mwakani ntakupa mrejesho inshallah.....na Mimi uni post...
πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜„πŸ€“πŸ€“
 
Back
Top Bottom