National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Karibu sana aunty .. uvipee na baraka za shangaziNi kweli? Maana Ankol bana haya hongera sana Ankol National Anthem kwa twins, nitakuja kuvilea πππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana aunty .. uvipee na baraka za shangaziNi kweli? Maana Ankol bana haya hongera sana Ankol National Anthem kwa twins, nitakuja kuvilea πππππ
Mim nina mtoto tayari Ila soon najifungua mwingine kwa uwezo wa Allah.Bado zamu yakoo Cha ukorofii
Yeye anakomaa na mijimama tu πMwache aendelee kuunguza mayai yakeeππ. I mean no malice to nobody
Tena ya buku jero ππ, I mean no malice to nobodyYeye anakomaa na mijimama tu π
Alafu sijawai mie kukataa ndoa .. alichanganganya ID huyu β¦ mkuu nipe hongera kama vipi nitaichukua kwa nguvuNational Anthem ni muhuni mpenda utani usimtilie maanani
Nitakuka na navyopenda twins, naweza kuwaiba Aunt zangu πππKaribu sana aunty .. uvipee na baraka za shangazi
Stay blessed lady, dah inauma by aslayππMim nina mtoto tayali Ila soon najifungua mwingine kwa uwezo wa Allah.
πππ uzuri vidume vinatabia kama za baba yaoβ¦Nitakuka na navyopenda twins, naweza kuwaiba Aunt zangu πππ
Sasa naitwa baba ππ
Asante sana mwizi mwenzangu. ππNational Anthem kapata mapachaππ
Amen.Stay blessed lady, dah inauma by aslayππ
Glenn, Depal, dr namugari, njooni muulize huyu hapaAlafu sijawai mie kukataa ndoa .. alichanganganya ID huyu β¦ mkuu nipe hongera kama vipi nitaichukua kwa nguvu
Mim waniite tu Auntie rich.Sasa naitwa baba ππ
Mkuu ni kweli, wapo baadhi ya member wanajua mie binafsi na hata kuhusu hili. Sio utaniNational Anthem atakuja hapa bila shaka
Nimetukanwa Sana, hebu thibitisha hilooππAsante sana mwizi mwenzangu. ππ
Haujamaliza swali, ungeniuliza "hivi kwanini unaringa na mtu mwenyewe hata sio mweupe" πHivi kwanini unaringa kiasiki wewe mayu?
Achana nao mkuu. Kuna member kadhaa wanafahamu kuhusu hili mzee ambao nimekuwa karibu nao, na wanamfahamu hata wife uso kwa usoNimetukanwa Sana, hebu thibitisha hilooππ