National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Asante sana mkuuHongera sana mkuu National Anthem
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuuHongera sana mkuu National Anthem
Nikki bana 😀Hongera zake, amejifungua kwa operation au kawaida? Je ameolewa au ndio sogea tukae? Aheshimu mwanaume, hatutaki baadae aje kuwa single mother
I pray for you, na nitapost😆😂. I mean no malice to nobodyCongratulations 🎉👏🎉🎉 kwake #ASAP
Mm pia soon 🔜🔜 mwakani ntakupa mrejesho inshallah.....na Mimi uni post...
😊😊😆😆😄🤓🤓
Sass weupe unaliwa?Haujamaliza swali, ungeniuliza "hivi kwanini unaringa na mtu mwenyewe hata sio mweupe" 😁
Asante sana mkuu.. maisha ndio haya haya mzee.. tuujuze ulimwenguKweli timu ya usiku wa manane imeamua ni mwendo wa kuijaza dunia alianza trudie Mr kenice sasa National Anthem
Hongera sana National Anthem 👏👏👏
Amen. Mkuu nitawale kijeda jedaa hakuna kuleana kimayai mayaiMkuu National Anthem Mungu akusimamie uwalee katika misingi yake...dunia imeharbika mno..
Naitwa baba kwa mala ya kwanza toka nimeletwa dunianiNina mashaka na hii taarifa, naona jamaa anaanzisha nyuzi za watu kupata watoto hadi inatia shaka, nitaamini ikiwa
National Anthem atakiri hili hapa.
Alianza na trudie
Asante sana mkuu. Shukrani kwa kujali. Nilee sasaKwako ndugu na Kaka yangu National Anthem, Tumekuwa marafiki wa muda mrefu katika dunia hii ya Kufikirika.
Furaha yako imekuwa furaha yangu pia, nichukue fursa hii kukupongeza wewe na mkeo kwa kufanikiwa kupata watoto mapacha siku ya jana😍😍.
Kheri ikawe kwenu na kwa familia yenu, nawa ahidi sitokuja kula sana endapo Nita alikwa 😂
😆.
👉note: nadhani hi ni wiki ya baraka kwa team jf usiku wa manane, kwani ndugu zetu watatu trudie, Mr kenice na national anthem wamepata watoto.
👉 I mean no malice to nobody, Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉Roho begani
View attachment 2605160
👉Picha haihusiani na taarifa.
🤭Nami niwe shamba boy😀Mpe Hongera.
Mwambie Mamndenyi anatafuta kazi ya uyaya
Jf ni ulimwengu mwingine, mfano wewe roho yako ikienda sayari nyingine yenye viumbe kama aliens halafu roho yako ikafanyika au kutokea katika namna ya mwili kama wao basi huo mwili utaitwa avatar, thats your avatar.Kwa unataka kusema nn mpendwa wetu
Hatari na nusu na vya kurithi huwa vinazidi Ankol. Hongera sana😄😄😄 uzuri vidume vinatabia kama za baba yao…
Cc. GilyI pray for you, na nitapost😆😂. I mean no malice to nobody
That's true, mwez huu umekua mzur Kwa mapopo kupata watoto🖐🏿🖐🏿🖐🏿I mean no malice to nobody, wote ni marafiki zangu
And these is a confirmation, unaeza wauliza National Anthem, trudie, Mr kenice
👉 Nani kakuomba mchango, au ni Kiki za kihaya🤔🤔
Mwez huu umekua Na histry ya aina yake,
Usimuamini sana mwanasiasa 😀Mbna huyu mwamba aikuwa kundi na katibu mkuu wa kataa ndoA au alikuja kupata ushauri nazaa
Anyway hongereni mam na Bab