Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha

Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha

Huyu jamaa si tulikua nae "Kataa Ndoa" dah.

All the best bro. Hongera sana sana Mungu akusaidie katika utunzaji wa malaika hawa.
 
Kwako ndugu na Kaka yangu National Anthem, Tumekuwa marafiki wa muda mrefu katika dunia hii ya Kufikirika.

Furaha yako imekuwa furaha yangu pia, nichukue fursa hii kukupongeza wewe na mkeo kwa kufanikiwa kupata watoto mapacha siku ya jana😍😍.

Kheri ikawe kwenu na kwa familia yenu, nawa ahidi sitokuja kula sana endapo Nita alikwa 😂
😆.

👉note: nadhani hi ni wiki ya baraka kwa team jf usiku wa manane, kwani ndugu zetu watatu trudie, Mr kenice na national anthem wamepata watoto.


👉 I mean no malice to nobody, Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉Roho begani
View attachment 2605160

👉Picha haihusiani na taarifa.
Hongera kwake
 
Back
Top Bottom