Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha

Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha

Kwako ndugu na Kaka yangu National Anthem, Tumekuwa marafiki wa muda mrefu katika dunia hii ya Kufikirika.

Furaha yako imekuwa furaha yangu pia, nichukue fursa hii kukupongeza wewe na mkeo kwa kufanikiwa kupata watoto mapacha siku ya jana😍😍.

Kheri ikawe kwenu na kwa familia yenu, nawa ahidi sitokuja kula sana endapo Nita alikwa 😂
😆.

👉note: nadhani hi ni wiki ya baraka kwa team jf usiku wa manane, kwani ndugu zetu watatu trudie, Mr kenice na national anthem wamepata watoto.


👉 I mean no malice to nobody, Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉Roho begani
View attachment 2605160

👉Picha haihusiani na taarifa.
Ni ukweli au fununu/tetesi..?
 
Team jf usiku wa manane, njooni mumpongeze mlinzi mwenzenu Bantu Lady, Johnnie Walker, Dahan, Mzee wa kupambania, Ms eyes, trudie, Kanali G, Santos06, Poor Brain,

Note 👉 nadhani hi ni wiki ya baraka kwa team jf usiku wa manane, kwani ndugu zetu watatu
👉 trudie
👉 Mr kenice
👉 National Anthem
Wote wamefanikiwa kupata watoto.
👉I mean no malice to nobody, Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉Roho begani
Hongera kwake bro National Anthem... 😂😂😂...,,, Karibu chama la mapacha... 👍
 
Back
Top Bottom