Palina
JF-Expert Member
- Oct 9, 2021
- 3,551
- 9,522
Mkuu we unakoelekea sio kuzuriVipi popcorn za unafiki hazija kuvimbisha๐ค๐ค. Palina au palilia
๐ I mean no malice to nobody
Kwani ni lazima kila mtu akubaliane na wewe?? Mi sina chuki na wewe wala baba watoto
Usitafute ubaya mkuu for nothing, hamna mtu aliesema wewe mwizi wala muongo, ni kwamba sio mimi tu ila baadhi ya watu walikua wanataka info kwa baba mwenyewe asa kosa liko wapi
Haya kazana