Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha

Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha

Una ushahidi upi binti😬😬
Wapo wanao mjua mke wangu humu tena face to face na wali bahatika muona kwenye stage ya ujauzito
C.c Glenn naona bado mnapinga duh
Mkuu baada ya wewe kujitokeza na kuthibitisha bila ajizi nilomuomba radhi bwana Intelligent businessman msahmaha.
Mimi huwa napenda kunyooka kama nimemkosea mtu namuomba radhi tu
 
Back
Top Bottom