Kwako ndugu na Kaka yangu
National Anthem, Tumekuwa marafiki wa muda mrefu katika dunia hii ya Kufikirika.
Furaha yako imekuwa furaha yangu pia, nichukue fursa hii kukupongeza wewe na mkeo kwa kufanikiwa kupata watoto mapacha siku ya jana😍😍.
Kheri ikawe kwenu na kwa familia yenu, nawa ahidi sitokuja kula sana endapo Nita alikwa 😂😆.
👉 I mean no malice to nobody, Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉Roho begani
View attachment 2605160
👉Picha haihusiani na taarifa, moderators msiufute uzi wangu tafadhali, hii ni taarifa rasmi.