Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Kwako ndugu na Kaka yangu National Anthem, Tumekuwa marafiki wa muda mrefu katika dunia hii ya Kufikirika.
Furaha yako imekuwa furaha yangu pia, nichukue fursa hii kukupongeza wewe na mkeo kwa kufanikiwa kupata watoto mapacha siku ya janaππ.
Kheri ikawe kwenu na kwa familia yenu, nawa ahidi sitokuja kula sana endapo Nita alikwa π
π.
πnote: nadhani hi ni wiki ya baraka kwa team jf usiku wa manane, kwani ndugu zetu watatu trudie, Mr kenice na national anthem wamepata watoto.
TANZIA: tunasikitika kutangaza msiba wa mapacha Hawa, tunaiombea kheri familia ya National Anthem katika kipindi kigumu.
π I mean no malice to nobody, Sera zetu π Panga mkononi
πRoho begani
πPicha haihusiani na taarifa.