Nini lakiniπ€£π€£π€£π€£?Mkuu ninakushtua tu usibweteke vita ni vikali.
Hizi pisi kali hazikupi kulala usingizi, ukizubaa unabaki mshika mapembeππ
Usimwamini huo wivu unamsumbuaπππππkumbe kuna ushindani?
Mimi nikilala na shemeji sina madhara kakaππNami nimeliona hivi, lakini tuishi nae namna hiyo hatakuwa na madhara.π
Hahaha, kweli naona huna madhara!!Mimi nikilala na shemeji sina madhara kakaππ
Mimi nabweka lkn kuna mba pembeni hazibweki zina ng'ata kimya kimyaππππππππkumbe kuna ushindani?
Siwezi kupeperuka kwa kelele ndogondogo hizi, hapa ni kuazimia kuoata mapacha kama ndugu yetu National Anthem .Umeamua kunipeperushia kindege changu au sio?
Kwani Nyie wamasai?Hahaha, kweli naona huna madhara!!
Una kizazi cha mapacha?Siwezi kupeperuka kwa kelele ndogondogo hizi, hapa ni kuazimia kuoata mapacha kama ndugu yetu National Anthem .
Hivi unadhani naweza kunruhusu kweli? Yani mchuzi wangu unywewe nikiwa naona kweliβοΈππKwani Nyie wamasai?
TumestaarabikaKwani Nyie wamasai?
Shemeji ukija nyumbani sijui Kama utakunywa hata maji...maana unanisagia Sana kunguni...Mimi nabweka lkn kuna mba pembeni hazibweki zina ng'ata kimya kimyaπππ
Hajui kupigania penzi?Umeamua kunipeperushia kindege changu au sio?
Kusimamisha tena mkuu?πππUna kizazi cha mapacha?
Huyo ishomire National Anthem kama nisingemsaidia dawa asingeweza hata kulenga.
......................................
Mkuu nimejitolea kusaidia watu humu wenye tatito ya mashine kusimama au kulegea mapema hii sio utani
Nilishajiandaa shemeji akija niondoke nae maana nilihisi hunipendiHivi unadhani naweza kunruhusu kweli? Yani mchuzi wangu unywewe nikiwa naona kweliβοΈππ
Yaani shem wewe mmbea SanaHajui kupigania penzi?
Aende atajua hajui, akikuacha hata saa haipiti una chombo mupyaaaππ
Shemeji shemeji mimi sio boya.Shemeji ukija nyumbani sijui Kama utakunywa hata maji...maana unanisagia Sana kunguni...