Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini lakini🤣🤣🤣🤣?Mkuu ninakushtua tu usibweteke vita ni vikali.
Hizi pisi kali hazikupi kulala usingizi, ukizubaa unabaki mshika mapembe😂😂
Usimwamini huo wivu unamsumbua😁😁😁😁😁kumbe kuna ushindani?
Mimi nikilala na shemeji sina madhara kaka😂😂Nami nimeliona hivi, lakini tuishi nae namna hiyo hatakuwa na madhara.😁
Hahaha, kweli naona huna madhara!!Mimi nikilala na shemeji sina madhara kaka😂😂
Mimi nabweka lkn kuna mba pembeni hazibweki zina ng'ata kimya kimya😂😂😂😁😁😁😁😁kumbe kuna ushindani?
Siwezi kupeperuka kwa kelele ndogondogo hizi, hapa ni kuazimia kuoata mapacha kama ndugu yetu National Anthem .Umeamua kunipeperushia kindege changu au sio?
Kwani Nyie wamasai?Hahaha, kweli naona huna madhara!!
Una kizazi cha mapacha?Siwezi kupeperuka kwa kelele ndogondogo hizi, hapa ni kuazimia kuoata mapacha kama ndugu yetu National Anthem .
Hivi unadhani naweza kunruhusu kweli? Yani mchuzi wangu unywewe nikiwa naona kweli❓️😁😁Kwani Nyie wamasai?
TumestaarabikaKwani Nyie wamasai?
Shemeji ukija nyumbani sijui Kama utakunywa hata maji...maana unanisagia Sana kunguni...Mimi nabweka lkn kuna mba pembeni hazibweki zina ng'ata kimya kimya😂😂😂
Hajui kupigania penzi?Umeamua kunipeperushia kindege changu au sio?
Kusimamisha tena mkuu?😁😁😁Una kizazi cha mapacha?
Huyo ishomire National Anthem kama nisingemsaidia dawa asingeweza hata kulenga.
......................................
Mkuu nimejitolea kusaidia watu humu wenye tatito ya mashine kusimama au kulegea mapema hii sio utani
Nilishajiandaa shemeji akija niondoke nae maana nilihisi hunipendiHivi unadhani naweza kunruhusu kweli? Yani mchuzi wangu unywewe nikiwa naona kweli❓️😁😁
Yaani shem wewe mmbea SanaHajui kupigania penzi?
Aende atajua hajui, akikuacha hata saa haipiti una chombo mupyaaa😂😂
Shemeji shemeji mimi sio boya.Shemeji ukija nyumbani sijui Kama utakunywa hata maji...maana unanisagia Sana kunguni...