Uchaguzi 2020 Pongezi nyingi kwa kamati ya ushindi Chadema, hakika nyie ni wataalam wa siasa



eti kamati ya what? 😂 😂 😂 😂
 
Yaliyotokea Mwanza jana mchana na usiku huu yanasema mengi sana kuhusu ccm kama mmeyasoma. Ccm inakufa hivyo.

Angalia mapokezi ya Magu mwanza tukufundishe nn maaana ya kishindo
 
Polepole na bashiru wanamfitini Magufuli kimya kimya, hawa wanatakiwa kushikishwa adabu.
 
angalia mapokezi ya magu mwanza tukufundishe nn maaana ya kishindo
Wasanii karibu wote walikusanywa, malori na mabasi yamesomba maelfu, wafanyakazi na wanafunzi wote wameshurutishwa kuhudhuria bila kukosa na vyombo vya dola vimetumika. Na hapo ni baada ya kuvifungia vyama vya siasa visifanye siasa, hapo ni baada ya kujigamba kwa SGR, madaraja, na kelele nyingi. Mtu aliyekuwa amelala kitandani muda wote akiuguza majeraha ya risasi zenu leo anawaendesha vibaya, kweli ni ajabu na kweli!
 


kama kawaida yenu hamkosi uongo wa kusema, haya tufanye hayo yote alifanya: hapa je
 
Hakuna serikali imefanya ufisadi mkubwa kama serikali hii, Mayanga Constructions, uwanja wa ndege, hekta 25,000, watoto wa dada mtu wamejaa wizarani, trillion 1.5 za Bukoba zipo wapi?

vp kuhusu billion 8 za kigogo?
na hapa je?

najua we ni team lissu so wacha maelezo mengi maaana hakuna cha maaana utaongea
 
Nilippwaelewa zaidi ni walipoamua kuganda hiyo kanda ya ziwa na bukoba kubomoa ngome ya meko
 
Ccm Inasambaratika huku CDM ikisitawi inafurahisha.
CCM wakikaribia uchaguzi huvunja makundi na hiki ndio tunashudia Lowassa, Sumaye,Mzee Makamba,Jakaya Kikwete,Mizengo Pinda wanampigia Magufuli, pammoja wabunge na madiwani.
Chama sampuli hii kinajua wanatafuta kukamata dora tu si vinginevyo.Angalia Chadema nguvu kubwa imewekwa kwa Uraisi,lakini wabunge na madiwani ni kila mmoja na lwakake.
ACT wazalendo bara amejilipuwa baada mwenyekiti Maalim Seif kumkana Membe na kumkumbatia mgombea wa Chadema.Katika mazingira kama haya ACT kupata ushindi wa kishindo bara wa wabunge na madiwani ni kazi ngumu kweli kweli.
 
Nani kakudanganya Mkuu? JK, Sumaye na Edo Jamaa na Marafiki zao ndiyo waathirika wakubwa wa awamu ya tano. Sasa wewe endelea kula chakula sahani moja na mtu mwenye kinyongo na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…