Pongezi Serikali Yetu Kutonyamazia Upotoshaji wa Media za Mabeberu Kutubagaza, Let's Be Proactive Rather Than Reactive, Tuwaambie Ukweli Wote!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
59,804
Reaction score
134,593
Wanabodi

Hili ni bandiko la pongezi kwa serikali yetu ikifanya jambo lolote zuri la kustahili pongezi, tuipongeze, na ikifanya jambo lolote baya la kustahili kukosolewa tuikosoe kwa constructive criticism, ukosoaji wa kujenga, sio ukosoaji wa kuzodoa au kubagaza.

Juzi Jumapili tarehe 12 Julai, limepandishwa bandiko hili humu jf BBC News Africa: Tundu Lissu: A Fight Too Far?
Ahsante BBC.
Hii makala imerushwa mapema leo Jumapili, Julai 12, 2026.
Thanks for this, kuendeleza ile the jf spirit of being the first to know, na kitendo and kutuletea humu kumeifanya sisi Watanzania wa kawaida kuiona na mamlaka zetu to respond.

Jana Jumatatu tarehe 13 Julai Serikali yetu imejibu mapigo Serikali: Makala ya BBC haina ushahidi. Tutachukua hatua kulinda uhuru, heshima na usalama wa nchi

Kwa hatua hii pekee ya Serikali yetu kuujibu upotoshaji wa BBC, ni hatua ya kustahili pongezi za dhati, ila tunapobagazwa kupitia chombo fulani, tujibu mapigo kwa kutumia chombo kile kile.

Hii sio mara ya kwanza kwa BBC kutubagaza, huko nyuma BBC iliwahi kutubagaza nikauliza humu GE2020 - Uongo na Upotoshaji huu wa BBC London kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni una maana gani? Sio mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa ki-BBC?

Mfano tumebagazwa kwa TV documentary kupitia BBC, kanusho letu lisiishie hivi vyombo vyetu vya madafu, tukanushie kule kule BBC. Sio tunabagazwa BBC, kisha tunakanushia TBC!.

Tanzania tuna balozi zetu nchi zote za kibeberu, tukibagazwa na BBC, Balozi wetu London atinge BBC kujibu mapigo, kama alivyofanya Balozi Matinyi akiwa Sweden Pongezi Balozi Wetu Sweden, Mobhare Matinyi. Alichofanya Kiigwe na Kifanywe na Balozi Zetu Zote
IMG-20251228-WA0013 (1).jpg

Ni muda mrefu nimekuwa nikashauri likitokea jambo lolote la ku attract international media attention, nimeshauri lets be proactive rather than reactive kwa kulizungumzia kwa ukweli na uwazi ili kuwa preempt mabeberu, wasio tutakia mema, na sio kusubiria mpaka tunabagazwa tunachafuliwa ndipo tunakuwa reactive kwa kujibu mapigo, by that time the damage has already been done!.

Niliwahi kuuliza humu Thread 'Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?' Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?
download.jpeg

Nimeiangalia hii documentary, kila kilichosemwa ni ukweli mtupu, mwisho wa documentary wameweka disclaimer kuwa waliwatafuta upande wa pili, ili ku balance their story, we refused to respond, hivyo as far as balance is concerned, ukimtafuta mtu wa kubalace akagoma kutoa ushirikiano, BBC kama media, Wametimiza wajibu wao, wame published one sided documentary na wamebalance.

Kwenye taarifa ya serikali serikali yetu wamesema hatutanyamaza, nashauri, sio tuu tujibu mapigo, bali tujibu mapigo kwa documentary ya kuusema ukweli, Tanzania tunazo media zenye uwezo wa ku produce documentary za ukweli na kuzirusha huko huko BBC!.

Baada ya kutokea kilichotokea October 29, nilishauri humu PostGE2025 - Ushauri: Tangazeni idadi ya Vifo, na Ikibidi Hata Idadi ya Uongo tuu ili Wanyamaze!. Gazeti la “The Sun” limeiita Tanzania HOUSE OF BLOOD

Nikashauri tena, Ushauri Kwa Serikali Yetu, Ili Kuisafisha Tanzania Kimataifa, Tumieni Dekio la Scapegoat Mop, Kusafisha Madoa ya Damu ya October 29!.

Ripoti ya Jaji Chande ilipotoka nikashauri PostGE2025 - Kwenye ukweli uongo hujitenga!, Baada ya idadi ya Vifo 518 kutolewa; Je, tuwashitaki wazushi waliotuchafua kwa Uzushi wa Maelfu ya Vifo?

Sisi kama Watanzania na media zetu hatukutimiza wajibu wetu kikamilifu PostGE2025 - Kilichotokea Oct 29, Pamoja na Media ya TZ Kutotimiza Wajibu Wetu Kikamilifu, Bado Tuna Wajibu! Kwanini Hatutimizi Wajibu Wetu Baada ya Tukio?

Mpaka akatokea mtu baking wa nje kuja kutusaidia What Happened in Oct. 29: Pongezi Balile wa TEF Kwa Uzalendo, Ila Tanzania Tunatia Aibu!. Tutategemea Wageni Mpaka Lini?!. Tujenge Uwezo wa Ndani!.

Hitimisho
Tanzania tutaendelea kusemwa vibaya na hizi documentaries za mabeberu mpaka lini?, mimi kwa vile nimefanya kazi kwenye media ya Tanzania kwa zaidi ya miaka 30, naomba kusema ukweli mchungu, kwa waandishi wa habari wa vyombo vya habari vya umma, kuanzia Idara ya Habari Maelezo, TBC, Daily News, hazina watu wa kujibu mapigo BBC, CNN, DWTV, Al Jazeera au SABC, lakini kwenye sekta binafsi Waandishi hao tunao, na vyombo vya kutengeneza hizo documentaries tunavyo ila lazima viwezeshwe!.

Tufike mahali Watanzania tujisikie aibu kufanyiwa kila kitu na wageni, hadi documentaries tunafanyiwa na wageni sisi kazi yetu ni kukanusha tuu!, vitu vingine ni vitu vidogo vodogo ambavyo wenyewe tunaviweza!. Ili Tanzania tupate maendeleo ya kweli, maendeleo endelevu, hatuwezi kuendelea kwa kuwategemea wageni ndio watuletee maendeleo!, maendeleo ya kweli yataletwa na Watanzania wenyewe, kwa kujengewa uwezo wa ndani wa kujiletea maendeleo, hivyo hata hiki kilichotokea nchini kwetu ile October 29, baada ya kuweka mapendekezo yangu ya nini kifanyike, sitegemei kusikia sisi media ya Tanzania, tukiemdelea kusimangwa na kutukanwa kuwa hatujafanya lolote!. Tuwezesheni tufanye kama nilivyo shauri hapa

Kuna vitu vinafuata kanuni za the universe, kama kuna kitu cha kufanywa na wewe, fanya, usipofanya, utafanyiwa na wenzio!, hata kwa mkeo, maadam ule mlango wa kupitia umeisha funguliwa uko wazi ili upite, usipopita, then lazima utapitiwa na wenzio!.

Hata kwenye uchaguzi wetu, niliwaeleza watu humu, Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga! watu ambao hawakujitokeza kupiga, walipigiwa!.

Kwenye hili la Lissu, kiukweli kabisa serikali yetu imelimiss handle big time, wenzetu makingwa wa miss handling, wana miss handle huku wanasema kitu, tumeona Iraq, Libya, Afghanistan, Osama na juzi Iran, hila la Lissu tulipaswa kusema sisi wenyewe, kitendo cha kushindwa kusema, acha sasa wengine watusemee sisi kazi yetu iwe kujibu tuu!, hili nalo nililiandikia https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/uchambuzi-wa-mayala-aibu-ya-kusimuliwa-na-wageni-5491416

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.

Mzee Pasco
 
Wanabodi

Hili ni bandiko la pongezi kwa serikali yetu ikifanya jambo lolote zuri la kustahili pongezi, tuipongeze, na ikifanya jambo lolote baya la kustahili kukosolewa tuikosoe kwa constructive criticism, ukosoaji wa kujenga, sio ukosoaji wa kuzodoa au kubagaza.

Juzi Jumapili tarehe 12 Julai, limepandishwa bandiko hili humu jf BBC News Africa: Tundu Lissu: A Fight Too Far?

Thanks for this, kuendeleza ile the jf spirit of being the first to know, na kitendo and kutuletea humu kumeifanya sisi Watanzania wa kawaida kuiona na mamlaka zetu to respond.

Jana Jumatatu tarehe 13 Julai Serikali yetu imejibu mapigo Serikali: Makala ya BBC haina ushahidi. Tutachukua hatua kulinda uhuru, heshima na usalama wa nchi

Kwa hatua hii pekee ya Serikali yetu kuujibu upotoshaji wa BBC, ni hatua ya kustahili pongezi za dhati, ila tunapobagazwa kupitia chombo fulani, tujibu mapigo kwa kutumia chombo kile kile.

Mfano tumebagazwa kwa TV documentary kupitia BBC, kanusho letu lisiishie hivi vyombo vyetu vya madafu, tukanushie kule kule BBC. Sio tunabagazwa BBC, kisha tunakanushia TBC!.

Tanzania tuna balozi zetu nchi zote za kibeberu, tukibagazwa na BBC, Balozi wetu London atinge BBC kujibu mapigo, kama alivyofanya Balozi Matinyi akiwa Sweden Pongezi Balozi Wetu Sweden, Mobhare Matinyi. Alichofanya Kiigwe na Kifanywe na Balozi Zetu Zote

Ni muda mrefu nimekuwa nikashauri likitokea jambo lolote la ku attract international media attention, nimeshauri lets be proactive rather than reactive kwa kulizungumzia kwa ukweli na uwazi ili kuwa preempt mabeberu, wasio tutakia mema, na sio kusubiria mpaka tunabagazwa tunachafuliwa ndipo tunakuwa reactive kwa kujibu mapigo, by that time the damage has already been done!.

Niliwahi kuuliza humu

...to be continued...

Mzee Pasco
Mayalla BBC siyo size yenu Hao siyo TBC kaka.
 
Wanabodi

Hili ni bandiko la pongezi kwa serikali yetu ikifanya jambo lolote zuri la kustahili pongezi, tuipongeze, na ikifanya jambo lolote baya la kustahili kukosolewa tuikosoe kwa constructive criticism, ukosoaji wa kujenga, sio ukosoaji wa kuzodoa au kubagaza.
Okay. Kwa hiyo serikali yetu imefanya jambo baya, ila tatizo ni kwamba imekosolewa kwa kuzodolewa na kubagazwa.

Essentially, unasema serikali yetu kama mtu mzima imeamua kwa makusudi kabisa, kujipaka kinyesi. Sasa anakuja mtu anapiga kelele oooh, mwone huyu serikali ya Tanzania, mtu mzima ovyo, anajipaka kinyesi!

Hapo wewe unaona si vizuri kumzodoa mtu mzima aliejipaka kinyesi, kwmba serikali inakuwa sahihi kumkemea huyo mzodoaji kwamba kwa nini unanizomea na kuwatangazia watu nimejipaka kinyesi wakati nipo nyumbani kwangu?

Unasema constructive approach ilikuwa kusema, we bwana serikali ya Tanzania, siku nyingine usijipake kinyesi hata kama umeambiwa kinafanya mbu wasikuume. Tafuta njia mbadala ya kuzuia mbu wasikuume.

Kwa hiyo kati ya huyu serikali ya Tanzania aliejipaka kinyesi mbu wasimuume, na yule aliemzodoa na kumbagaza kwa kufanya hivyo, nani ana nafuu katika jamii?
 
Wanabodi

Hili ni bandiko la pongezi kwa serikali yetu ikifanya jambo lolote zuri la kustahili pongezi, tuipongeze, na ikifanya jambo lolote baya la kustahili kukosolewa tuikosoe kwa constructive criticism, ukosoaji wa kujenga, sio ukosoaji wa kuzodoa au kubagaza.

Juzi Jumapili tarehe 12 Julai, limepandishwa bandiko hili humu jf BBC News Africa: Tundu Lissu: A Fight Too Far?

Thanks for this, kuendeleza ile the jf spirit of being the first to know, na kitendo and kutuletea humu kumeifanya sisi Watanzania wa kawaida kuiona na mamlaka zetu to respond.

Jana Jumatatu tarehe 13 Julai Serikali yetu imejibu mapigo Serikali: Makala ya BBC haina ushahidi. Tutachukua hatua kulinda uhuru, heshima na usalama wa nchi

Kwa hatua hii pekee ya Serikali yetu kuujibu upotoshaji wa BBC, ni hatua ya kustahili pongezi za dhati, ila tunapobagazwa kupitia chombo fulani, tujibu mapigo kwa kutumia chombo kile kile.

Mfano tumebagazwa kwa TV documentary kupitia BBC, kanusho letu lisiishie hivi vyombo vyetu vya madafu, tukanushie kule kule BBC. Sio tunabagazwa BBC, kisha tunakanushia TBC!.

Tanzania tuna balozi zetu nchi zote za kibeberu, tukibagazwa na BBC, Balozi wetu London atinge BBC kujibu mapigo, kama alivyofanya Balozi Matinyi akiwa Sweden Pongezi Balozi Wetu Sweden, Mobhare Matinyi. Alichofanya Kiigwe na Kifanywe na Balozi Zetu ZoteView attachment 3628853

Ni muda mrefu nimekuwa nikashauri likitokea jambo lolote la ku attract international media attention, nimeshauri lets be proactive rather than reactive kwa kulizungumzia kwa ukweli na uwazi ili kuwa preempt mabeberu, wasio tutakia mema, na sio kusubiria mpaka tunabagazwa tunachafuliwa ndipo tunakuwa reactive kwa kujibu mapigo, by that time the damage has already been done!.

Niliwahi kuuliza humu Thread 'Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?' Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au? View attachment 3628854

Nimeiangalia hii documentary, kila kilichosemwa ni ukweli mtupu, mwisho wa documentary wameweka disclaimer kuwa waliwatafuta upande wa pili, ili ku balance their story, we refused to respond, hivyo as far as balance is concerned, ukimtafuta mtu wa kubalace akagoma kutoa ushirikiano, BBC kama media, Wametimiza wajibu wao, wame published one sided documentary na wamebalance.

Kwenye taarifa ya serikali serikali yetu wamesema hatutanyamaza, nashauri, sio tuu tujibu mapigo, bali tujibu mapigo kwa documentary ya kuusema ukweli, Tanzania tunazo media zenye uwezo wa ku produce documentary za ukweli na kuzirusha huko huko BBC!.

...to be continued...

Mzee Pasco
Screenshot_20251122-090658~2.png
 
well done mwalimu P.
kwa ushauri, uchambuzi na ufafanuzi wa kina dhidi ya upotoshwaji unaofanywa na vyombo vya habari hususani vya ng'ambo visivyo itakia mema Tanzania.

Binafsi napongeza vyombo vya habari na wana habari wote nchini, kwa uzalendo na weledi wao, kwa kukataa kua trapped na vyombo vya habari vya ng'ambo.

Otherwise
naipongeza serikali kwa usharp wa kufafanua na kueleza ukweli dhidi ya upotoshaji wa documentaries au habari za upotoshaji zinazofanywa kwa makusudi dhidi ya dhidi ya Tanzania.🔥

Mungu Ibariki Tanzania
 
Wanabodi

Hili ni bandiko la pongezi kwa serikali yetu ikifanya jambo lolote zuri la kustahili pongezi, tuipongeze, na ikifanya jambo lolote baya la kustahili kukosolewa tuikosoe kwa constructive criticism, ukosoaji wa kujenga, sio ukosoaji wa kuzodoa au kubagaza.

Juzi Jumapili tarehe 12 Julai, limepandishwa bandiko hili humu jf BBC News Africa: Tundu Lissu: A Fight Too Far?

Thanks for this, kuendeleza ile the jf spirit of being the first to know, na kitendo and kutuletea humu kumeifanya sisi Watanzania wa kawaida kuiona na mamlaka zetu to respond.

Jana Jumatatu tarehe 13 Julai Serikali yetu imejibu mapigo Serikali: Makala ya BBC haina ushahidi. Tutachukua hatua kulinda uhuru, heshima na usalama wa nchi

Kwa hatua hii pekee ya Serikali yetu kuujibu upotoshaji wa BBC, ni hatua ya kustahili pongezi za dhati, ila tunapobagazwa kupitia chombo fulani, tujibu mapigo kwa kutumia chombo kile kile.

Hii sio mara ya kwanza kwa BBC kutubagaza, huko nyuma BBC iliwahi kutubagaza nikauliza humu GE2020 - Uongo na Upotoshaji huu wa BBC London kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni una maana gani? Sio mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa ki-BBC?

Mfano tumebagazwa kwa TV documentary kupitia BBC, kanusho letu lisiishie hivi vyombo vyetu vya madafu, tukanushie kule kule BBC. Sio tunabagazwa BBC, kisha tunakanushia TBC!.

Tanzania tuna balozi zetu nchi zote za kibeberu, tukibagazwa na BBC, Balozi wetu London atinge BBC kujibu mapigo, kama alivyofanya Balozi Matinyi akiwa Sweden Pongezi Balozi Wetu Sweden, Mobhare Matinyi. Alichofanya Kiigwe na Kifanywe na Balozi Zetu ZoteView attachment 3628853

Ni muda mrefu nimekuwa nikashauri likitokea jambo lolote la ku attract international media attention, nimeshauri lets be proactive rather than reactive kwa kulizungumzia kwa ukweli na uwazi ili kuwa preempt mabeberu, wasio tutakia mema, na sio kusubiria mpaka tunabagazwa tunachafuliwa ndipo tunakuwa reactive kwa kujibu mapigo, by that time the damage has already been done!.

Niliwahi kuuliza humu Thread 'Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?' Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au? View attachment 3628854

Nimeiangalia hii documentary, kila kilichosemwa ni ukweli mtupu, mwisho wa documentary wameweka disclaimer kuwa waliwatafuta upande wa pili, ili ku balance their story, we refused to respond, hivyo as far as balance is concerned, ukimtafuta mtu wa kubalace akagoma kutoa ushirikiano, BBC kama media, Wametimiza wajibu wao, wame published one sided documentary na wamebalance.

Kwenye taarifa ya serikali serikali yetu wamesema hatutanyamaza, nashauri, sio tuu tujibu mapigo, bali tujibu mapigo kwa documentary ya kuusema ukweli, Tanzania tunazo media zenye uwezo wa ku produce documentary za ukweli na kuzirusha huko huko BBC!.

...to be continued...

Mzee Pasco
Huyu jamaa Paskali akili yake huwa inaruka na kurudi. Katafuta cheo, hakupewa, kagombea ubunge, hata kura moja ya wajumbe wa CCM caucuses hakupata. Amebakia chawa tu asiye na mbele wala nyuma....TRAITOR MAYALA
 
Maana ya mayala ni njaa.Anajipendekeza ili apewe ulaji ili kuondoa njaa yake
 
Maskini hili lizee litakufa bila kupata madaraka yoyote. Linaangaika mno.
 
Back
Top Bottom