BBC News Africa: Tundu Lissu: A Fight Too Far?

Samia hana uwezo hata kiduchu tu wa kuhojiwa kwenye kipindi kama cha HardTalk 😀.

Kwa CCM ya sasa hakuna mwenye uwezo wa kufanya mahojiano na vipindi kama HardTalk.

Waliokuwa na uwezo huo huko CCM walishakufa wote.
 
CCM ya sasa imejaa vilaza ambao akili zao wamezipa likizo na kubakisha akili kiduuuchu tu za kuvukia barabara, kwendea msalani na kumsifia Samia.
 
Wapo wengi CCM wenye akili. Tatizo ufisadi na woga. Hawana maadili wala ujasiri wa kwenda kinyume na utawala uliowaweka madarakani.
Ni kweli akili wanazo bali wamebadili matumizi ya akili zao, mfano ni Profesa Kabudi yule wa Tume ya Warioba na Profesa Kabudi wa leo hii, au Profesa Mkumbo wa Chadema na Profesa Mkumbo wa CCM.
 
Samia hana uwezo hata kiduchu tu wa kuhojiwa kwenye kipindi kama cha HardTalk 😀.

Kwa CCM ya sasa hakuna mwenye uwezo wa kufanya mahojiano na vipindi kama HardTalk.

Waliokuwa na uwezo huo huko CCM walishakufa wote.
Mkuu acha masihara, yaani unamuwazia mtu asiyejua hata exchange rate ya pesa maarufu zaidi duniani (US dolla) kwenda kuhojiwa Hard Talk ya BBC?!?!.
Umekosea sana kuwaza vby!.
 
Back
Top Bottom