BBC News Africa: Tundu Lissu: A Fight Too Far?

BBC News Africa: Tundu Lissu: A Fight Too Far?

Mkuu mtu ni rais wa nchi hajui exchange rate ya dollar na shilingi ya Tanzania,na Kila siku anasaini mikataba ya fedha na kukopa matrilioni ,je atajua vipi Tanzania iko upande Gani wa afrika.

Anaweza sema iko magharibi mwa Africa
Kwakweli inawezekana
 
Samia hana uwezo hata kiduchu tu wa kuhojiwa kwenye kipindi kama cha HardTalk 😀.

Kwa CCM ya sasa hakuna mwenye uwezo wa kufanya mahojiano na vipindi kama HardTalk.

Waliokuwa na uwezo huo huko CCM walishakufa wote.
mim kama mm namwamini sana katibu wa itikadi kenan kihongos anaweza pangua hoja za hao watu mnao waita mabeberu
 
Mkuu acha masihara, yaani unamuwazia mtu asiyejua hata exchange rate ya pesa maarufu zaidi duniani (US dolla) kwenda kuhojiwa Hard Talk ya BBC?!?!.
Umekosea sana kuwaza vby!.
Elimu ya Mchambawima Secondary School.
 
Watarusha sana, lakini Lissu hatoki!
Wanaweka tu history na kumbukumbu sahihi ya uovo ukatili na uhayawani, aliofanyiwa bila hatia.

Sijaona mahala wameomba atoke.

Africa watawala humiliki watu, ardhi sheria na rasilimali zote. Kuishi au kufa kwake mnaamua nyinyi
 
Back
Top Bottom