BBC News Africa: Tundu Lissu: A Fight Too Far?

BBC News Africa: Tundu Lissu: A Fight Too Far?

In all honesty, Tundu Lissu has won me over.

He has more than proven that he is the real deal.
You were a little bit slower, but that's okay!

Tundu Lissu, with all his human weaknesses, is the real deal for the prevailing moment.
The right person at the right moment; just as was the case when Tanganyika gained its independence in 1961.
 
Mkuu acha masihara, yaani unamuwazia mtu asiyejua hata exchange rate ya pesa maarufu zaidi duniani (US dolla) kwenda kuhojiwa Hard Talk ya BBC?!?!.
Umekosea sana kuwaza vby!.
Sidhani hata kama anajua Tanzania iko upande Gani wa afrika.
 
..inaonyesha BBC walikuwa walimfanyia TL mahojiano zamani yakawa ktk maktaba zao.

..hisia zangu ni kwamba BBC walijaribu kuandaa documentary ya shambulizi dhidi ya TL lakini kazi yao haikukamilika.
 
Huyu wangeachana naye tu. Maana hana hiyo impact wanayohofia. Kwa sasa serikali ijikite kutatua changamoto za vijana maana ndio 'time bomb' ambalo litalipuka muda sio mrefu.
Waoga wanajua makosa mengi wanafanya Lissu anayo na anaweza kuwaambia Wananchi ndio hofu yao kubwa mali za Nchi nyingi zimegawiwa kwa makampuni ya Nje hofu kubwa ni hiyo sio kuchukua Nchi wala nini kitendo cha kuwaamsha Wananchi ni hatari kwao huku vijana wakisikia huo uozo ndio chanzo cha maandamano inabidi Jaji kila kukicha aje na kifungu cha kumbakisha ndani Lissu..
 
Ahsante BBC.
Hii makala imerushwa mapema leo Jumapili, Julai 12, 2026.
Thanks for this, kuendeleza ile the jf spirit of being the first to know, na kitendo and kutuletea humu kumeifanya sisi Watanzania wa kawaida kuiona na mamlaka zetu to respond.

Thanks

P
 
Masiharaa sasa haya.
Mkuu mtu ni rais wa nchi hajui exchange rate ya dollar na shilingi ya Tanzania,na Kila siku anasaini mikataba ya fedha na kukopa matrilioni ,je atajua vipi Tanzania iko upande Gani wa afrika.

Anaweza sema iko magharibi mwa Africa
 
Back
Top Bottom