Pongezi Serikali Yetu Kutonyamazia Upotoshaji wa Media za Mabeberu Kutubagaza, Let's Be Proactive Rather Than Reactive, Tuwaambie Ukweli Wote!.

Wanabodi

Hili ni bandiko la pongezi kwa serikali yetu ikifanya jambo lolote zuri la kustahili pongezi, tuipongeze, na ikifanya jambo lolote baya la kustahili kukosolewa tuikosoe kwa constructive criticism, ukosoaji wa kujenga, sio ukosoaji wa kuzodoa au kubagaza.

Juzi Jumapili tarehe 12 Julai, limepandishwa bandiko hili humu jf BBC News Africa: Tundu Lissu: A Fight Too Far?

Thanks for this, kuendeleza ile the jf spirit of being the first to know, na kitendo and kutuletea humu kumeifanya sisi Watanzania wa kawaida kuiona na mamlaka zetu to respond.

Jana Jumatatu tarehe 13 Julai Serikali yetu imejibu mapigo Serikali: Makala ya BBC haina ushahidi. Tutachukua hatua kulinda uhuru, heshima na usalama wa nchi

Kwa hatua hii pekee ya Serikali yetu kuujibu upotoshaji wa BBC, ni hatua ya kustahili pongezi za dhati, ila tunapobagazwa kupitia chombo fulani, tujibu mapigo kwa kutumia chombo kile kile.

Hii sio mara ya kwanza kwa BBC kutubagaza, huko nyuma BBC iliwahi kutubagaza nikauliza humu GE2020 - Uongo na Upotoshaji huu wa BBC London kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni una maana gani? Sio mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa ki-BBC?

Mfano tumebagazwa kwa TV documentary kupitia BBC, kanusho letu lisiishie hivi vyombo vyetu vya madafu, tukanushie kule kule BBC. Sio tunabagazwa BBC, kisha tunakanushia TBC!.

Tanzania tuna balozi zetu nchi zote za kibeberu, tukibagazwa na BBC, Balozi wetu London atinge BBC kujibu mapigo, kama alivyofanya Balozi Matinyi akiwa Sweden Pongezi Balozi Wetu Sweden, Mobhare Matinyi. Alichofanya Kiigwe na Kifanywe na Balozi Zetu ZoteView attachment 3628853

Ni muda mrefu nimekuwa nikashauri likitokea jambo lolote la ku attract international media attention, nimeshauri lets be proactive rather than reactive kwa kulizungumzia kwa ukweli na uwazi ili kuwa preempt mabeberu, wasio tutakia mema, na sio kusubiria mpaka tunabagazwa tunachafuliwa ndipo tunakuwa reactive kwa kujibu mapigo, by that time the damage has already been done!.

Niliwahi kuuliza humu Thread 'Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?' Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au? View attachment 3628854

Nimeiangalia hii documentary, kila kilichosemwa ni ukweli mtupu, mwisho wa documentary wameweka disclaimer kuwa waliwatafuta upande wa pili, ili ku balance their story, we refused to respond, hivyo as far as balance is concerned, ukimtafuta mtu wa kubalace akagoma kutoa ushirikiano, BBC kama media, Wametimiza wajibu wao, wame published one sided documentary na wamebalance.

Kwenye taarifa ya serikali serikali yetu wamesema hatutanyamaza, nashauri, sio tuu tujibu mapigo, bali tujibu mapigo kwa documentary ya kuusema ukweli, Tanzania tunazo media zenye uwezo wa ku produce documentary za ukweli na kuzirusha huko huko BBC!.

Baada ya kutokea kilichotokea October 29, nilishauri humu PostGE2025 - Ushauri: Tangazeni idadi ya Vifo, na Ikibidi Hata Idadi ya Uongo tuu ili Wanyamaze!. Gazeti la “The Sun” limeiita Tanzania HOUSE OF BLOOD

Nikashauri tena, Ushauri Kwa Serikali Yetu, Ili Kuisafisha Tanzania Kimataifa, Tumieni Dekio la Scapegoat Mop, Kusafisha Madoa ya Damu ya October 29!.

Ripoti ya Jaji Chande ilipotoka nikashauri PostGE2025 - Kwenye ukweli uongo hujitenga!, Baada ya idadi ya Vifo 518 kutolewa; Je, tuwashitaki wazushi waliotuchafua kwa Uzushi wa Maelfu ya Vifo?

Sisi kama Watanzania na media zetu hatukutimiza wajibu wetu kikamilifu PostGE2025 - Kilichotokea Oct 29, Pamoja na Media ya TZ Kutotimiza Wajibu Wetu Kikamilifu, Bado Tuna Wajibu! Kwanini Hatutimizi Wajibu Wetu Baada ya Tukio?

Mpaka akatokea mtu baking wa nje kuja kutusaidia What Happened in Oct. 29: Pongezi Balile wa TEF Kwa Uzalendo, Ila Tanzania Tunatia Aibu!. Tutategemea Wageni Mpaka Lini?!. Tujenge Uwezo wa Ndani!.

Hitimisho
Tanzania tutaendelea kusemwa vibaya na hizi documentaries za mabeberu mpaka lini?, mimi kwa vile nimefanya kazi kwenye media ya Tanzania kwa zaidi ya miaka 30, naomba kusema ukweli mchungu, kwa waandishi wa habari wa vyombo vya habari vya umma, kuanzia Idara ya Habari Maelezo, TBC, Daily News, hazina watu wa kujibu mapigo BBC, CNN, DWTV, Al Jazeera au SABC, lakini kwenye sekta binafsi Waandishi hao tunao, na vyombo vya kutengeneza hizo documentaries tunavyo ila lazima viwezeshwe!.

Tufike mahali Watanzania tujisikie aibu kufanyiwa kila kitu na wageni, hadi documentaries tunafanyiwa na wageni sisi kazi yetu ni kukanusha tuu!, vitu vingine ni vitu vidogo vodogo ambavyo wenyewe tunaviweza!. Ili Tanzania tupate maendeleo ya kweli, maendeleo endelevu, hatuwezi kuendelea kwa kuwategemea wageni ndio watuletee maendeleo!, maendeleo ya kweli yataletwa na Watanzania wenyewe, kwa kujengewa uwezo wa ndani wa kujiletea maendeleo, hivyo hata hiki kilichotokea nchini kwetu ile October 29, baada ya kuweka mapendekezo yangu ya nini kifanyike, sitegemei kusikia sisi media ya Tanzania, tukiemdelea kusimangwa na kutukanwa kuwa hatujafanya lolote!. Tuwezesheni tufanye kama nilivyo shauri hapa

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.

Mzee Pasco

Mbona kama vile unamshauri mtoto mdogo aliyekomba mboga. Hawa wametenda na wanalijua hilo ila wanajibaraguza kukubali wewe unawashauri angalau waseme ndiyo lakini kidogo!
 
Attachments

  • 6356031-bb592c87302cc8b9307283aef821e89.mp4
    3.7 MB
we mzee siku wakishtukia kalamu yako ina maana gani.....safari hiyo watakuletea zengwe kubwa zaidi ya lile.
Nje ya box , nimewaza the same. Inaitajika kusomea CUBA kuelewa alicho ANDIKA brother paschal.

Najua watawala wapo humu na wamesoma maoni ya wadau na jamii ya elite wa kitanzania. I bet pascal Kuna kitu alitaka watawala wajionee then Done.
 
Okay. Kwa hiyo serikali yetu imefanya jambo baya, ila tatizo ni kwamba imekosolewa kwa kuzodolewa na kubagazwa.

Essentially, unasema serikali yetu kama mtu mzima imeamua kwa makusudi kabisa, kujipaka kinyesi. Sasa anakuja mtu anapiga kelele oooh, mwone huyu serikali ya Tanzania, mtu mzima ovyo, anajipaka kinyesi!

Hapo wewe unaona si vizuri kumzodoa mtu mzima aliejipaka kinyesi, kwmba serikali inakuwa sahihi kumkemea huyo mzodoaji kwamba kwa nini unanizomea na kuwatangazia watu nimejipaka kinyesi wakati nipo nyumbani kwangu?

Unasema constructive approach ilikuwa kusema, we bwana serikali ya Tanzania, siku nyingine usijipake kinyesi hata kama umeambiwa kinafanya mbu wasikuume. Tafuta njia mbadala ya kuzuia mbu wasikuume.

Kwa hiyo kati ya huyu serikali ya Tanzania aliejipaka kinyesi mbu wasimuume, na yule aliemzodoa na kumbagaza kwa kufanya hivyo, nani ana nafuu katika jamii?
Nami sijamwelewa Pascal. BBC wameweka wazi kwamba waliomba ushirikiano kwa serikali kwa ajili ya ku balance habari yao, serikali haikuwapa ushirikiano wowote, wakatoa walichokusanya wao, ndicho tulichotangaziwa. Sasa hizi counter arguments za Pascal na Msigwa ilitakiwa zingepelekwa BBC wakati wameombwa wafanye hivyo. Yaleyale ya Bunge la Ulaya, lilipoomba ushirikiano kutoka kwa Gavoo kuhusu taarifa za Oktoba 29, 2025 jamaa wakapiga kimya, walipotoa kibano milio ikaanza kutoka, kwamba hawakushirikishwa wala kuulizwa!
 
Hawa ni wazi ni wafa maji. Lakini acha wajikaange kwa mafuta yao wenyewe. Nadhani wengi wao huku chini wanafanya makusudi. Unapokuwa na akili ndogo inaongoza akili kubwa, akili kubwa zinajifanya kuwa akili ndogo kama self preservation - uchawa
 
Maana ya mayala ni njaa.Anajipendekeza ili apewe ulaji ili kuondoa njaa yake
Mwalimu wake alikuwa Palamagamba Kabudi aka, PROFESA WA MAJALALANI! Kuna mtu anayefundishwa na Kabudi akawa ni wakili mzuri????? Mzee ni muongo wa wazi wazi, anadanganya mchana bila ya kuona aibu, hata yale anayoyafundisha hayana ukweli. Shame on him.
 
Paschal Mayalla kutokana kilicho tangazwa na BBC hapo Msigwa kajibu nini?
Kwamba Lissu hawi persecuted na utawala wa Samia?
 
Back
Top Bottom