Pongezi Serikali Yetu Kutonyamazia Upotoshaji wa Media za Mabeberu Kutubagaza, Let's Be Proactive Rather Than Reactive, Tuwaambie Ukweli Wote!.

Baada ya kutokea kilichotokea October 29, nilishauri humu PostGE2025 - Ushauri: Tangazeni idadi ya Vifo, na Ikibidi Hata Idadi ya Uongo tuu ili Wanyamaze!. Gazeti la “The Sun” limeiita Tanzania HOUSE OF BLOOD

Nikashauri tena, Ushauri Kwa Serikali Yetu, Ili Kuisafisha Tanzania Kimataifa, Tumieni Dekio la Scapegoat Mop, Kusafisha Madoa ya Damu ya October 29!.

Mbona kama vile unamshauri mtoto mdogo aliyekomba mboga. Hawa wametenda na wanalijua hilo ila wanajibaraguza kukubali wewe unawashauri angalau waseme ndiyo lakini kidogo!
 
 

Attachments

  • 6356031-bb592c87302cc8b9307283aef821e89.mp4
    3.7 MB
we mzee siku wakishtukia kalamu yako ina maana gani.....safari hiyo watakuletea zengwe kubwa zaidi ya lile.
Nje ya box , nimewaza the same. Inaitajika kusomea CUBA kuelewa alicho ANDIKA brother paschal.

Najua watawala wapo humu na wamesoma maoni ya wadau na jamii ya elite wa kitanzania. I bet pascal Kuna kitu alitaka watawala wajionee then Done.
 
Nami sijamwelewa Pascal. BBC wameweka wazi kwamba waliomba ushirikiano kwa serikali kwa ajili ya ku balance habari yao, serikali haikuwapa ushirikiano wowote, wakatoa walichokusanya wao, ndicho tulichotangaziwa. Sasa hizi counter arguments za Pascal na Msigwa ilitakiwa zingepelekwa BBC wakati wameombwa wafanye hivyo. Yaleyale ya Bunge la Ulaya, lilipoomba ushirikiano kutoka kwa Gavoo kuhusu taarifa za Oktoba 29, 2025 jamaa wakapiga kimya, walipotoa kibano milio ikaanza kutoka, kwamba hawakushirikishwa wala kuulizwa!
 
Hawa ni wazi ni wafa maji. Lakini acha wajikaange kwa mafuta yao wenyewe. Nadhani wengi wao huku chini wanafanya makusudi. Unapokuwa na akili ndogo inaongoza akili kubwa, akili kubwa zinajifanya kuwa akili ndogo kama self preservation - uchawa
 
Maana ya mayala ni njaa.Anajipendekeza ili apewe ulaji ili kuondoa njaa yake
Mwalimu wake alikuwa Palamagamba Kabudi aka, PROFESA WA MAJALALANI! Kuna mtu anayefundishwa na Kabudi akawa ni wakili mzuri????? Mzee ni muongo wa wazi wazi, anadanganya mchana bila ya kuona aibu, hata yale anayoyafundisha hayana ukweli. Shame on him.
 
Paschal Mayalla kutokana kilicho tangazwa na BBC hapo Msigwa kajibu nini?
Kwamba Lissu hawi persecuted na utawala wa Samia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…