Pongezi Spika Dkt. Tulia umeonesha uwezo na unaweza! Je, tumshauri Dada Mkubwa, ikimpendeza, ampishe Dada Mdogo kwenye lile jambo letu?

Utani mwingine utakugharimu.
Mkuu Mamnde, Mamndenyi , kabla sijakujibu naomba nikuulize kitu, 1995,how old were you?no offense intended to your privacy kuujua umri wako wa sasa,but to establish if you were still 啊minor,or ulikuwa umeisha attained the age of the majority。
P
 
Paskali umeandika hii makala kama mtu wa kijiweni kabisa brother. So sorry kwa kusema hivi lakini nimelia sana.
Mkuu。PiiWii, PeeWee , mimi sio nimeandika kama mtu wa kijiweni, mimi ni mtu wa kijiweni kabisa!
Kuwakolemea wazungu ndo iwe sababu kweli ya kupewa hiyo position!!! Kama ameshindwa kukolomea wa humu ndani kwake, utawaweza watoto wajirani?
duu 。。。!
P
 
Ulijipendekeza sana kwa mama mwanzoni, sasa baada ya kuona ulikuwa unaota ndoto za mchana kwenye uteuzi, umeamua kama mbwa iwe mbwai
Wengi humu ni average,hivyo they miss the point kwenye mabandiko yangu, sijawahi kuwa chawa wala kujipendekeza kwa yeyote, kosa langu ni moja tuu kuwa mkweli daima,being open,truthful and very transparent
it was not about shouting, its about being firm and standing up against bullying and intimidation。
P
 
Yaani pale tulia alifanya nini cha maana , pasco akiandika hizi sifa zake zamani tukiita upambe na Leo ndio uchawa wenyewe , kwani kule IPU kabadili kipi au kawa na impact gani kubwa
Duu。。。!, unamaanisha mimi ni mpambe wa Dr Tulia?。
P
 
Magu alikwisha waambia tena Kwa msisitizo akirudia mara tatu kwamba :

1. " Nileteeeni Gwajima, "

2. "Nileteeni Gwajima",

3. "Nileteeni Gwajimaaaaa "

😀 Haya!
 
... most people mistake playful behavior as IMMATURITY, though it's highly recommended for innovative minds!
... not only Hon. Tulia shouldn't allow people to bully her, ... NOBODY IS ALLOWED IMPOSE HIS WAY OF THINKING ON YOU Pascal Mayalla !
 
Ni upumbavu tuu kumsifia ujinga.chupi tuu aliyovaa siku ile wametengeneza mabeberu.waafrika hatuwezi hata kutengeneza chupi za wake zetu au boxer.Mfyuu
 
Anapigwa maswali kidogo tu anaanza kulia lia oohh msifikiri bado mnatutawala oohh msinidharau sababu natoka nchi maskin...hayo yote ni ya nini ww mama? umeulizwa maswali jibu maswali yao tena kwa hoja zilizoshiba ueleweke.

Ametuaibisha sana huyu mama.
 
Shauri yako.
 
Kumwita Mkuu wa Nchi dada, hizi wakili Paskali hukaribii kutenda kosa la uhaini kweli? Hebu niwasiliane kwanza na advocate wangu hapa mara moja, nilete vifungu vya sheria. 🙂
 
Dr, Tulia Akson Mwansasu, alivyowajibu kwa kuwakemea waandishi wanchi za mabeberu, walioanza kumsakama kukutana na Rais Putin wa Urusi, kabla ya Zalenski wa Ukraine.
Hapo nadhani umeteleza kidogo. Hao aliowakemea hawakuwa waandishi bali walikuwa ni ma speakers wa mabunge ya nchi 12 zinazojulikana kwa jina la 12+. Hizi ndizo nchi tunazoziita za mabeberu. Tulishawahi kuwa makoloni wao na bado zinaamini badk tuko makoloni yao in our minds. Hizi ndizo nchi ambazo chadema wanaziita na wanaamini kwamba ndiyo dunia. Kwa kweli. Kwa kweli kazichapa za uzo nchi hizo na kushangiliwa na ma speakers wengine wote kwenye mkutano huo wa mabunge yote ya dunia aka IPU.
Uwezo huu ameonyeshea akiwa nje ya nchi, swali ni kama ameweza kuonyesha uwezo huo, akiwa nje ya nchi, nini kinamfanya asionyeshe uwezo huo kwenye kuisimimia serikali yetu kupitia Bunge lake ndani ya nchi?.
Hawezi kufanya hivyo. Yeye si mjinga kiasi hicho. She's very smart. Yaani wewe unataka aikemee na kuikoromea serikali ya dada mkubwa kama alivyozikemea hizo serikali za nchi 12+? Unataka ayapate yale yaliyompata Job Ndugaye? Kumbuka hizo nafasi alizonazo, spika wa bunge la Tanzania na ile ya uraisi wa bunge la dunia, akapewa na dada mkubwa. Huyu dada mkubwa anaweza kumtoa kwenye hizo nafasi anytime kama ambavyo Ruto wa Kenya alivyomtoa Gachagua.

Huyu dada mdogo anapaswa kufuata kile ambacho dada mkubwa anachotaka. Hata hicho kitendo cha kuwakemea hao 12+ aliyeanza ni dada mkubwa alipokuwa huko Moshi kwenye kilele cha sherehe ya jeshi letu la polisi kutimiza miaka 60. Hivyo Tulia alichofanya huko kwenye mkutano wa IPU ilikuwa ni kuendeleza kushindilia msumari wa dada mkubwa kwenye hizo nchi. Hivyo the credit goes to dada mkubwa and not to dada mdogo.

Hivyo Kitendo cha Spika Tulia, kuwajibu tuu vile alivyo wajibu, huku ni kuonyesha uwezo tosha wa lile jambo letu!.
Hilo unaloliita jambo letu ni jambo kubwa sana. Si jambo la mchezo mchezo. Hicho kigezo alichokionesha Tulia huko IPU hakitoshi kwa mbali kwenye vigezo vyetu vya hilo jambo letu. Wapo vijana na hata wazee wengi tu wenye vigezo vyingi kumpita yeye kwenye hilo jambo letu.

Watu kama akina Mpina wameshaonesha mapungufu yake hadi kumshitaki kwenye ule mhimili wetu wa tatu. Bado ni kijana. Apewe muda wa kuendelea kujifunza na kupata uwezo na vigezo zaidi kwenye hilo jambo letu. Mwaka 2030 tutampima kama atakuwa ame aquire vigezo vyetu vyote vya hilo jambo letu.
 
Magu alikwisha waambia tena Kwa msisitizo akirudia mara tatu kwamba :

1. " Nileteeeni Gwajima, "

2. "Nileteeni Gwajima",

3. "Nileteeni Gwajimaaaaa "

😀 Haya!
Haya mambo ya utatu haya, kuna
  • Utatu Mtakatifu
  • Petro akamkana Yesu mara 3
  • alipokufa alikaa siku 3 akafufuka
  • matanga ni siku 3
  • dozi za dawa ni mara 3
  • hata zile dozi nyingine ni rounds 3
  • shule fimbo tatu
  • chakula milo mitatu
NB, inawezekana baada ya ile nileteeni mara tatu, tarehe halisi ya tukio lile ni tarehe 12 March, usikute baba askofu mfufua wafu alijaribu mara tatu, na kila mara moja unapumzika siku moja, iliposhindikana baada ya mara 3, ndio sasa ikabidi tutangaziwe after 5 good days!, hili swali siku nyingi nimekuwa najiuliza sipati majibu,mtu unawezaje kukaa na 。。。wa mtu kwa siku 5 ndipo tunatangaziwa ile siku!Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…