Pongezi Spika Dkt. Tulia umeonesha uwezo na unaweza! Je, tumshauri Dada Mkubwa, ikimpendeza, ampishe Dada Mdogo kwenye lile jambo letu?

Mkuu @dr akili,kwanza asante kwa kunielimisha hili la 12+, nikijua Tulia anawakoromea waandishi wa habari wa nchi za mabeberu, kumbe ni maspika wa nchi za mabeberu!, yelewii!, Tulia hatunaye tena IPU!。
Thanks for this too, hili sikulijua ila Dada mdogo ni akili kubwa wakati dada mkubwa ni wa kawaida, kitendo cha akili ndogo kuongoza akili kubwa ni submission, huku ni mhimili wa Bunge kuji submit kwa the executive, ndio maana wanaletewa miswada batili, wanapitisha!,wanaletewa an illegal IGA, wanapitisha!mtu anayeweza kuwakoromea kubwa la mabeberu, anashindwaje kuisimamia serikali inayowategemea hao mabeberu!。 Hivyo inawezekana hapa mimi nampongeza Dr Tulia na kumuona ni shujaa kumbe kwa umasikini wetu as beggars as we are, na hao mabeberu ndio tunaowategemea kwa kuwatembezea bakuli letu, then koromeo lile litasababisha a diplomatic fiasco na Tulia aka risk kung'olewa!。
Naunga mkono hoja ila kwa Dada mkubwa anakwenda 70 na dada mdogo ni under 50, yupi ni afadhali?。
Watu kama akina Mpina wameshaonesha mapungufu yake hadi kumshitaki kwenye ule mhimili wetu wa tatu. Bado ni kijana. Apewe muda wa kuendelea kujifunza na kupata uwezo na vigezo zaidi kwenye hilo jambo letu.
thanks
Mwaka 2030 tutampima kama atakuwa ame aquire vigezo vyetu vyote vya hilo jambo letu.
hapa kwenye hili la 2030, imepita mule mule, mwake mwake kwenye bandiko langu kuhusu HII kitu ya hili jambo letu, humo nilisema
Last but not least, we save the best for last, wewe, Dr Akili ni miongoni mwa baraka za jikwaa hili。
Ubarikiwe sana。
P
 
Paskali akitabiri kitu namba muwe makini sana kufuatilia.

He is accurate 98%
Mkuu Saint Ivuga , kwanza asante, kunipigia promo watu wanizingatie, ila huu sio utabiri, huu ni ushauri tuu wa logical kwa Dada Mkubwa kumu consider Dada Mdogo, kwa vile kwenye lile jambo letu, tumeamua twende na mwanamke, and she will be 70, then its logical kumshauri afanye tuu consideration ya kumuangalia dada mdogo au mwanamke mwingine yoyote under 60 ambaye ni capable na energetic!. Utabiri wangu huhusu jambo letu la 2025 uko kwenye HII kitu!..
P
 
Ujio wa Magufuli, ulitanguliwa na ushindi wa Trump,

Akishinda Harris November US, na huku 2025 atakuwa mwanamke,

Sasa Kwa kuwa Ajaye US ni Trump, tegemea huku mtu Mwanaume wa kuimalizia KAZI aliyoiacha Magu.

Tusubiri.
 
Nadhani Kuna watu wanakutuma kupima upepo..!! watch out mzee
Wanaotumwa ni walioajiriwa,wanatumwa na ma bosi wao, mimi ni freelance, sijaariwa na yeyote, situmwi na mtu wala siwajibiki kwa yeyote, I am my own boss!na bandiko hili sio la kupima upepo wowote, ni bandiko la an honest opinion advise kwa Dada Mkubwa na dada mdogo。
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…