PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana

PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana

Nimeona Taarifa Ya Utenguzi wa Mkurugenzi wa Mafia.

Kiukweli Nimefarijika sana na Nimeona Kweli haki imetendeka na Imeonekana Ikitendeka..

Ni wazi kuwa Nchi imepata Viongozi waadilifu Na hasa Miongoni mwao Napenda kumtaja bila kuogopa na nikitembea Kifua Mbele Dkt. Gwajima D.

Kiukweli kabisa Sijawahi kutilia Mashaka uwezo wake na hasa Nimekuwa nina Imani naye Tangu akiwa DMO singida.

Safi sana na Kongole kwako.

Nimependa Response Yako Umepokea Taarifa ndani ya masaa 24 na umeifanyia kazi ndani ya Masaaa 24..

Hakika wewe ni Definition ya Uongozi

NB: Mimi sio mtu wa Kusifia sana ila kwa Hili niacheni nisifie maana Naona Wizara imepata waziri.

Pia soma

View attachment 2968041

View attachment 2968039

View attachment 2968042
Mbona hatukumwona wakati ule mheshimiwa waziri mmoja aliyemsabashia kifo mwanafunzi wa udom
 
Under 16yrs ni rape,hakuna makubaliano halali ya sex,hope's huyu mtoto(why DED anaajiri Under age ??)atachukuliwa vipimo vya DNA (nategemea tuna uwezo huo)ili kutengeneza watertight case dhidi ya suspect,kwangu DED huyu bado ni suspect hadi court of law itakapoamua (pls DPP file hili lifanyiwe upendeleo ili haki ifanyike kwa pande zote mbili)je kituo cha police pale Mafia wana GBV desk??
hoja yangu nilitaka kujua kama alibaka kwa nguvu au ilikuwa statutory rape. hayo yote nayajua. sishangai hayo yote hata hivyo kwasababu hata jirani yangu siku moja alikuwa anataka kumwingilia kinguvu housegirl, akapiga kelele kwamba anabakwa, akachomoka kwenye geti akakimbilia nyumba ya jirani, ni jamaa ana pesa tu na mke mzuri ila huwa anarudi mchana anapiga mahousegirl mkewe akiwa kazini. na mke anamvumilia, akigundua housegirl anatoka na mmewe anafukuza analeta mpya, maisha yanaendelea. sijawahi kuona mwanamke mvumilivu kama yule dunia nzima.
 
Nimeona Taarifa Ya Utenguzi wa Mkurugenzi wa Mafia.

Kiukweli Nimefarijika sana na Nimeona Kweli haki imetendeka na Imeonekana Ikitendeka..

Ni wazi kuwa Nchi imepata Viongozi waadilifu Na hasa Miongoni mwao Napenda kumtaja bila kuogopa na nikitembea Kifua Mbele Dkt. Gwajima D.

Kiukweli kabisa Sijawahi kutilia Mashaka uwezo wake na hasa Nimekuwa nina Imani naye Tangu akiwa DMO singida.

Safi sana na Kongole kwako.

Nimependa Response Yako Umepokea Taarifa ndani ya masaa 24 na umeifanyia kazi ndani ya Masaaa 24..

Hakika wewe ni Definition ya Uongozi

NB: Mimi sio mtu wa Kusifia sana ila kwa Hili niacheni nisifie maana Naona Wizara imepata waziri.

Pia soma

View attachment 2968041

View attachment 2968039

View attachment 2968042
HAKUNA KESI HAPO HUYO NI KADA KAMA YULE MBUNGE ALIYEMWEKEA CHUPA JAMAA KULE HANANG
 
Hii kweli mama YETU mpendwa imemuuma kama Mimi .Bora alichofanya ni kizuri .
 
Kwanini hukumpongeza na Ex Mayor wa Ubungo Jacob kwa alilolifanya? Mkuu acha double standards...
Tena Huyu Ex Mayor wa Ubungo, Jacob ilitakiwa apewe sifa na pongezi zote maana yeye ndo aliliibua kwenye Mitandao ya Kijamii!

Vinginevyo lingepigwa kimya kimya na mtuhumiwa angekuwa bado yupo kazini akiendelea kula kodi zetu. [emoji2955]Nyambafu sana huyu mjinga mjinga mbakaji!
 
Upwirru Tungeona Alivyo kwanza Huyo Mfanyakazi wa Ndani tungejudge..
Pengine kaumbika na ni mzuri
Ni pisi kweli, naomba Mwanaume Mwenzangu asilaumiwe! inawezekana alikosa utulivu wa nafsi toka kwa shemeji na kama ujuavyo maisha ya Uongozi yana Stress nyingi, sasa angefanyaje?
 
Nimeona Taarifa Ya Utenguzi wa Mkurugenzi wa Mafia.

Kiukweli Nimefarijika sana na Nimeona Kweli haki imetendeka na Imeonekana Ikitendeka..

Ni wazi kuwa Nchi imepata Viongozi waadilifu Na hasa Miongoni mwao Napenda kumtaja bila kuogopa na nikitembea Kifua Mbele Dkt. Gwajima D.

Kiukweli kabisa Sijawahi kutilia Mashaka uwezo wake na hasa Nimekuwa nina Imani naye Tangu akiwa DMO singida.

Safi sana na Kongole kwako.

Nimependa Response Yako Umepokea Taarifa ndani ya masaa 24 na umeifanyia kazi ndani ya Masaaa 24..

Hakika wewe ni Definition ya Uongozi

NB: Mimi sio mtu wa Kusifia sana ila kwa Hili niacheni nisifie maana Naona Wizara imepata waziri.

Pia soma

View attachment 2968041

View attachment 2968039

View attachment 2968042
Nongwa tu! Sasa nani ampe beki tatu UTAMU?!
Yamefanyika, yanafanyika na yataendelea kufanyika.
Mke wake WIVU tu!
👺👿💢🗯️😠😡😤😾🤬
 
Hii Wizara ni mhimu sana ila kwa kuwa tumezoea mambo ya dili tunaona haina maana..Kwa ustawi wa nchi yeyote familia ndio msingi wa mambo yote.
 
Wanawake huwa Wana ujinga mwingi Sana, uskute wife kaskia tu tetesi karuka nayo hewani Hadi kwa waandishi,

Jamaa keshaharibikiwa job, anajiliza kuomba msamaha😡
 
Mkurugenzi hata hajakutwa na hatia mahakamani tayari kashawajibishwa makonda anatuhumu mawaziri, anadharirisha watumishi anakataa kupanda gari la mkuu wa mkoa lenye bendera ya Taifa na kumpakiza mtoto wake huku yeye akipanda gari la watalii haitwi anaachwa ofisini.

Hv huyu makonda ana nn huko ndani ya ccm mbona anaogopeka na kuheshimika kuliko rais?

Ccm mjitafakari hilo ni tatizo kubwa.
 
Wala sio malaya wakati mwingine mama mwenye nyumba anamuachia kila kitu afanye beki Tatu, mwisho wa Siku na sie ni Binaadamu.
Kabisa hiyo unawaza kuwa ni sababu ya mwanaume kutembea na h/girl.?? Sababu ya kijinga kweli umetoa, mbona home kwenu kazi zote zinafanywa na mama yako lkn hujawahi kumtamani kuzini naye??
Yani kupika, kufua na kufanya usafi ikupelekee wewe kumtamani kumla binti wa kazi?? Basi unatakiwa ujitathimini sana na muenendo wako
 
@ Dr Gwajima D. Apewe resources za kutosha anaweka alama ya kuihudumia jamii. Hongera kwake.
 
Back
Top Bottom