APA CHICAGO
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 259
- 292
Shughulikia ukabila na upendeleo taasisi za umma kama vile TBS, Brela, NEMC, TRA, Latra nk
Tate Mkuu umenena vyema sana maana mtumishi wa umma anaposhidwa kupanda daraja unaathili pension yake na mafao yake ya uzeeni kiinua mgongo. Kwa kweli watu wameathilika sana na hii kitu mhe waziri asiishie hapo aangalie na mafao ya wastafu maana nao ni kilio tupuDah! Miaka sita si mchezo! Chamoto tumekiona. Watakuwa wamefanya jambo jema sana kwa sisi wafanyakazi. Hata wasipo ongeza mishahara, sawa tu! Ila siyo madaraja aisee! Ile kitu inatesa wafanyakazi mpaka basi.
Samia ameamua kumchagua mkwe wake/aliyemuoa mtoto wa mh.Samia kuwa waziri wa utawala bora.Kweli upendeleo hauwezi kuisha!Sina maneno mengi sana ya kusema nimeona na kusikiliza clip moja hivi " Unasema kazi ya kwanza ni kushughulikia kupanda kwa madaraja ya watumishi wa umma Tanzania.
Kama ulichokisema ni dhamila yako ya dhati na serikali ya Mhe, Rais Samia Suruhu Hassan imedhamilia kwa dhati, pokea HONGERA na PONGEZI kwa kuamua kuwapa haki na stahiki za wafanyakazi.
Hongera mhe, waziri hongera mhe Rais pia kwa hili.
Mkuu Lukubuzo Mimi sina shida na hilo cha mhimu atende kazi kwa weledi na kwa haki.Samia ameamua kumchagua mkwe wake/aliyemuoa mtoto wa mh.Samia kuwa waziri wa utawala bora.Kweli upendeleo hauwezi kuisha!
Mkuu Lukubuzo Mimi sina shida na hilo cha mhimu atende kazi kwa weledi na kwa haki.
Tanzania ngumu Sana! wajinga ni wengi mno,Cjaona kiongozi wa kuongoza Tanzania wote majizi tu, huyu naye mapeeeema keshaanza, Sasa huyo mkwe wake anajua nini kuhusu watumishi wa umma,au yupo kwa ajili ya kumjengea hi Maya via TIS.Utumishi wa umma tz ni kama mkosi fulani hawana thamani kabisa.Samia ameamua kumchagua mkwe wake/aliyemuoa mtoto wa mh.Samia kuwa waziri wa utawala bora.Kweli upendeleo hauwezi kuisha!
Huna shida na hilo vipi?
Je akikosea huyo Waziri Rais ataweza kumkemea kwa Uhuru mtu ambaye ni Mkwewe.?
Je akimtumbua mwanae ambaye huyo bwana ni mkewe atamuelewaje Mama yake?
Vipi kuhusu mgongano wa maslahi ya Umma?
Inaleta maswali mengi, alisikika Mzee mmoja kijiweni akiuliza.
Tuchape kazi.
[/QUOTE
Hilo nalo neno mkuu
Mkuu sana balmar uko sawa kwa 100% kwa sababu kama afisa utumishi hajafanya jambo fulani basi awajibishwe yeye bila kuathili wengineJaman yaan nchi hii unakuta watu wote mmeanza kazi sawa kwenye HALMASHAURI za wilaya mbalimbali tanzania
Utashangaa walimu mnafanana elimu n.k lakini mwenzako unamwacha nyuma hadi madaraja mawili yeye yupo nyuma
Kuna sababu zisizo na afya huwa zinatolewaga kwenye hili utasikia unajua Afisa utumishi anakuwa hawajibiki ipasavyo au HALMASHAURI yenu ukusanyaji wa mapato upo chini
Pia, kuna swala la kujiendeleza mtu umesoma degree au hata masters mshahara upo sawa kabisa na mwenzako ambae hata bodi hamuhusu na wala hajawahi hata kujiendeleza
Haya mambo yanatakiwa yaangaliwe kwa jina sio swala la kupandisha madaraja ya bora liende yaan Ajira ya 2004 kimajadaraja unalingana na alieanza 2010 tena na elimu umejiendeleza pia.
Vyeo kwenye utumishi wa umma ni kizungumkuti sio kazi rahisi na sio kuiendea kwa papara
Na ndio changamoto anayokutana nayo sasa hivi, huyo mchengerwa anamshauri mambo ya hovyo kweli na sijui kwa nini hataki kumtoa hapo au anasubiri atakapotangaza mabadiliko ya baraza la mawaziri baada ya kifo cha waziri wa ulinzi?Huna shida na hilo vipi?
Je ni kweli kuwa ni mkwewe?
Je akikosea huyo Waziri Rais ataweza kumkemea kwa Uhuru mtu ambaye ni Mkwewe.?
Je akimtumbua mwanae ambaye huyo bwana ni mkewe atamuelewaje Mama yake?
Vipi kuhusu mgongano wa maslahi ya Umma?
Inaleta maswali mengi, alisikika Mzee mmoja kijiweni akiuliza.
Tuchape kazi.