Pongezi Waziri Mchengerwa kwa kuahidi kushughulikia kupanda kwa madaraja ya watumishi wa umma

Pongezi Waziri Mchengerwa kwa kuahidi kushughulikia kupanda kwa madaraja ya watumishi wa umma

Sina maneno mengi sana ya kusema nimeona na kusikiliza clip moja hivi " Unasema kazi ya kwanza ni kushughulikia kupanda kwa madaraja ya watumishi wa umma Tanzania.

Kama ulichokisema ni dhamila yako ya dhati na Serikali ya Mhe, Rais Samia Suruhu Hassan imedhamilia kwa dhati, pokea hongera na pongezi kwa kuamua kuwapa haki na stahiki za wafanyakazi.

HONGERA mhe, Waziri hongera mhe Rais pia kwa hili.
Hakuna lolote Mkuchika alisema hivyo Miaka 5 iliyopita tena Akasema na VIWANGO Vipaji vya MISHAHARA vipo tayari huu ni Mwaka wa 6

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom