Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni, Bi. Anastazia Tutuba, akimkabidhi Toroli Bi. Coleta Benedict ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, alilolitoa wakati wa Mkutano wa hadhara wa kusikiliza na kutatua kero za Wananchi uliofanyika tarehe 30 Mei 2026 katika Viwanja vya Shule ya Msingi Tambukareli, Wilaya ya Manyoni.
My Take
Hongera sana kwa kutatizo changamoto nzito kama hii, hii ni changamoto ya kitaifa