Jagina JF-Expert Member Joined Jan 29, 2019 Posts 8,428 Reaction score 4,022 May 1, 2024 #101 Yesu Anakuja said: kama mmeuliwa mbona wewe upo hai sasa. Click to expand... Kwa kuwa mimi niko hai ndio hakuuliwa mtu , hii yote ni jeuri yenu maana hujapoteza kitu , mzigo wa mwenzako kwako ni ganda la usufi. Ghasia zote hizi ni kwa sababu raisi anayewatawala ametoka Zanzibar , miaka yote mkituonea mlikuwa kimya.
Yesu Anakuja said: kama mmeuliwa mbona wewe upo hai sasa. Click to expand... Kwa kuwa mimi niko hai ndio hakuuliwa mtu , hii yote ni jeuri yenu maana hujapoteza kitu , mzigo wa mwenzako kwako ni ganda la usufi. Ghasia zote hizi ni kwa sababu raisi anayewatawala ametoka Zanzibar , miaka yote mkituonea mlikuwa kimya.