Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
kama mmeuliwa mbona wewe upo hai sasa.
Kwa kuwa mimi niko hai ndio hakuuliwa mtu , hii yote ni jeuri yenu maana hujapoteza kitu , mzigo wa mwenzako kwako ni ganda la usufi.
Ghasia zote hizi ni kwa sababu raisi anayewatawala ametoka Zanzibar , miaka yote mkituonea mlikuwa kimya.