Poor Brain FT MS R wimbo unaitwa Sijiwezi

🀣🀣🀣 Atatoa tu ili goma litrend... Na mistari yako sasa ilivo mokali ni fayaπŸ”₯
Unajua huyu Mpaji Mungu sio kama anamistari konki ila jamaa anajua kuteka hisia za mashabiki wake ndo.mana nipo tayri kwa dau lolote anaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Alafu mtu kama wewe useme mtaani upo serious...

Hapa mkuu najipanga kuongea ma management yako ili nipate mkataba kabisa ila kingine kuhusu mavazi utamaliza wewe mkuu maana hyo $4000 ni kipande mkuu
Ila nyie upcoming artist sijui mna Shida gani? Bado mnapambana na mavazi na wakati mi makampuni yanahangaika kupata nafasi ya kunivalisha... designers kibao wanancheki juzi nilimpa kazi Moja avalishe vinjunga team yangu nliokua nao tunaenjoy yatch life
 
dronedrake hizi beat hazipigwagi🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nacheka kwa sauti huku......
Ila mi ni poor ila hapo kwa iko kichwa hapana πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Mkuu basi mi nachosubiri pia itapendeza nikipata kikao na wewe ili unipe zaidi maarifa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜΄ aiseee kumbe tuna wasanii humu

Anyway mkuu ndo taarifa kwa umma kuwa umempata wako au??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…