Poor Brain FT MS R wimbo unaitwa Sijiwezi

🤣🤣🤣 Atatoa tu ili goma litrend... Na mistari yako sasa ilivo mokali ni faya🔥
Unajua huyu Mpaji Mungu sio kama anamistari konki ila jamaa anajua kuteka hisia za mashabiki wake ndo.mana nipo tayri kwa dau lolote ana😂😂😂
 
😂😂😂😂😂 Alafu mtu kama wewe useme mtaani upo serious...

Hapa mkuu najipanga kuongea ma management yako ili nipate mkataba kabisa ila kingine kuhusu mavazi utamaliza wewe mkuu maana hyo $4000 ni kipande mkuu
Ila nyie upcoming artist sijui mna Shida gani? Bado mnapambana na mavazi na wakati mi makampuni yanahangaika kupata nafasi ya kunivalisha... designers kibao wanancheki juzi nilimpa kazi Moja avalishe vinjunga team yangu nliokua nao tunaenjoy yatch life
 
SIJIWEZI Lyrics By Poor Brain Featuring Ms R

VERSE 1 Poor Brain 🧠

Koh koh koh

Bomboclat

Oooh baby nataka nikwambie vile moyo wangu what i feel,

Are you ready uisikie nafsi yangu upande wa pili

Acha nijimalize kwako mi zaidi ya bwege, mi TID we ndo zeze nalipiga njoo tucheze

CHORUS Poor Brain

Oooh mapenzi yako mapenzi unanichanganya laaziz,

Sawa mahaba ila umezidisha dozi utanipa uchizi

Wallah sijiwezi we kuti na mkwezi, maganda bila ndizi,

VERSE 2 Ms R

I got you you got me baby, uko sambamba na mimi my dady,

Iwe kwa shida na raha oooh baby, ooh baby, oooh my dady

Umenipa dozi daktari baba, umenificha mi sitoki ndani

Ntakupa dooh vitu vya thamani sijiwezi niko taabani.

Uwepo wako naamini maradhi yangu yatapona

And i will be waiting for this but now i found love.

In this song baby your dedication pack vitu twendege vacation

Twende far away no location au Zanzibar Indian ocean

Wacha nijimalize mi kwako zaidi ya bwege, mi TID na we ndo zeze nalipiga njoo tucheze

Oooh kipenzi yako mapenzi unanichanganya laaziz,

Ka mix laizer

Wa memchokoza beaaa

Kimambo on the beats

The mix killer

Director BICHWA KOMWE -
dronedrake hizi beat hazipigwagi🤣
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Nacheka kwa sauti huku......
Ila mi ni poor ila hapo kwa iko kichwa hapana 🙌🙌🙌🙌🙌

Mkuu basi mi nachosubiri pia itapendeza nikipata kikao na wewe ili unipe zaidi maarifa
 
dronedrake hizi beat hazipigwagi🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Daaaah aiseeeeee....

Bado na kile kionjo cha Nyamwila255
 
SIJIWEZI Lyrics By Poor Brain Featuring Ms R

VERSE 1 Poor Brain 🧠

Koh koh koh

Bomboclat

Oooh baby nataka nikwambie vile moyo wangu what i feel,

Are you ready uisikie nafsi yangu upande wa pili

Acha nijimalize kwako mi zaidi ya bwege, mi TID we ndo zeze nalipiga njoo tucheze

CHORUS Poor Brain

Oooh mapenzi yako mapenzi unanichanganya laaziz,

Sawa mahaba ila umezidisha dozi utanipa uchizi

Wallah sijiwezi we kuti na mkwezi, maganda bila ndizi,

Sawa mahaba ila umezidisha dozi utanipa uchizi

VERSE 2 Ms R

I got you you got me baby, uko sambamba na mimi my dady,

Iwe kwa shida na raha oooh baby, ooh baby, oooh my dady

Umenipa dozi daktari baba, umenificha mi sitoki ndani

Ntakupa dooh vitu vya thamani sijiwezi niko taabani.

Uwepo wako naamini maradhi yangu yatapona

And i will be waiting for this but now i found love.

In this song baby your dedication pack vitu twendege vacation

Twende far away no location au Zanzibar Indian ocean

Wacha nijimalize mi kwako zaidi ya bwege, mi TID na we ndo zeze nalipiga njoo tucheze

Oooh kipenzi yako mapenzi unanichanganya laaziz,

Sawa mahaba ila umezidisha dozi utanipa uchizi

Wallah sijiwezi we kuti na mkwezi, maganda bila ndizi,

Sawa mahaba ila umezidisha dozi utanipa uchizi

Ka mix laizer

Wa memchokoza beaaa

Kimambo on the beats

The mix killer

Director BICHWA KOMWE -
😂😂😂😴 aiseee kumbe tuna wasanii humu

Anyway mkuu ndo taarifa kwa umma kuwa umempata wako au??
 
Back
Top Bottom