SIJIWEZI Lyrics By
Poor Brain Featuring
Ms R
VERSE 1
Poor Brain ðŸ§
Koh koh koh
Bomboclat
Oooh baby nataka nikwambie vile moyo wangu what i feel,
Are you ready uisikie nafsi yangu upande wa pili
Acha nijimalize kwako mi zaidi ya bwege, mi TID we ndo zeze nalipiga njoo tucheze
CHORUS
Poor Brain
Oooh mapenzi yako mapenzi unanichanganya laaziz,
Sawa mahaba ila umezidisha dozi utanipa uchizi
Wallah sijiwezi we kuti na mkwezi, maganda bila ndizi,
Sawa mahaba ila umezidisha dozi utanipa uchizi
VERSE 2
Ms R
I got you you got me baby, uko sambamba na mimi my dady,
Iwe kwa shida na raha oooh baby, ooh baby, oooh my dady
Umenipa dozi daktari baba, umenificha mi sitoki ndani
Ntakupa dooh vitu vya thamani sijiwezi niko taabani.
Uwepo wako naamini maradhi yangu yatapona
And i will be waiting for this but now i found love.
In this song baby your dedication pack vitu twendege vacation
Twende far away no location au Zanzibar Indian ocean
Wacha nijimalize mi kwako zaidi ya bwege, mi TID na we ndo zeze nalipiga njoo tucheze
Oooh kipenzi yako mapenzi unanichanganya laaziz,
Sawa mahaba ila umezidisha dozi utanipa uchizi
Wallah sijiwezi we kuti na mkwezi, maganda bila ndizi,
Sawa mahaba ila umezidisha dozi utanipa uchizi
Ka mix laizer
Wa memchokoza beaaa
Kimambo on the beats
The mix killer
Director
BICHWA KOMWE -