Poor Brain FT MS R wimbo unaitwa Sijiwezi

View attachment 3064354

King of Pop Mpaji Mungu amekataa waziwazi mwaliko wa msanii chipukizi Poor Brain kwenye studio zao PBM zilizopo Mbezi Dar es saalam, Tanzania.

β€’Akijibu kuhusu kukataa kufanya wimbo na Poor Brain Mpaji Mungu alisema ""kila msanii ana uhuru wa kufanya wimbo na yeyote anayetaka kufanya naye kazi lakini linapokuja suala la pesa huwa sina huruma na mtu.""

Wakati wakizindua nyimbo hiyo siku chache zilizopita, Mpaji Mungu alidokeza kuwa atafurahi sana kama atalipwa $4000 kama nyota mwenzake wa bongo fleva akitaka hiyo collabo.

Hata hivyo amejitokeza tajiri Vincenzo Jr anatamani awe meneja ili aweze kupeleka ngoma mjini ""Nimeamua kusapport kazi ya kijana mwenzangu, nitahakikisha anapata usimamizi mzuri "".

Umesha-imagine meneja mkubwa kama Vincenzo akisimamia hii ngoma live...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰
Mkuu hakikisha umeonana na management yangu ulipe gharama za kutumia brand yangu kupeleka gazeti lako mjini😁

Sema hili la kuvalishwa nguo za maombolezo linashughulikiwa na designer wangu ashawasiliana na mwanasheria wake
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weee acha usikoment nipo kwa gari mkuuu wangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
View attachment 3064354

King of Pop Mpaji Mungu amekataa waziwazi mwaliko wa msanii chipukizi Poor Brain kwenye studio zao PBM zilizopo Mbezi Dar es saalam, Tanzania.

β€’Akijibu kuhusu kukataa kufanya wimbo na Poor Brain Mpaji Mungu alisema ""kila msanii ana uhuru wa kufanya wimbo na yeyote anayetaka kufanya naye kazi lakini linapokuja suala la pesa huwa sina huruma na mtu.""

Wakati wakizindua nyimbo hiyo siku chache zilizopita, Mpaji Mungu alidokeza kuwa atafurahi sana kama atalipwa $4000 kama nyota mwenzake wa bongo fleva akitaka hiyo collabo.

Hata hivyo amejitokeza tajiri Vincenzo Jr anatamani awe meneja ili aweze kupeleka ngoma mjini ""Nimeamua kusapport kazi ya kijana mwenzangu, nitahakikisha anapata usimamizi mzuri "".

Umesha-imagine meneja mkubwa kama Vincenzo akisimamia hii ngoma live...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰
🀣🀣🀣
 
Kabisa kaka hii lazima iwe hit
 
Back
Top Bottom