Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Hii ni orodha ya nchi masikini zaidi Duniani, ukiangalia TZ yetu (kipato 2,786) ni ya 33 na Kenya ni ya 37 (kipato 3.155), ina maana Kenya imeizdi TZ kwa nafasi 4 tu au USD 369 tu!
Poorest countries in the world – ranked | Atlas & Boots
Punchline!
TZ yetu na Kenya wote tuna kazi kubwa ya kufanya, zote mbili ni kati ya nchi masikini kabisa Duniani, kwanza cha ajabu hata Kongo (USD 5,717) ni tajiri zaidi ya Kenya, hivyo wakati mnaleta picha za kujivunia maestate ya Nairobi yanayomilikiwa na Muzungu /Indians ambayo wewe huruhusiwi hata kuweka pua yako kwenye geti kabla haujakamatwa, kumbukeni kwamba Kenya kama vile TZ ni masikini sana, na haijalishi ni wangapi wana njaa kuliko wengine!