Poorest countries in the World!

Poorest countries in the World!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Hii ni orodha ya nchi masikini zaidi Duniani, ukiangalia TZ yetu (kipato 2,786) ni ya 33 na Kenya ni ya 37 (kipato 3.155), ina maana Kenya imeizdi TZ kwa nafasi 4 tu au USD 369 tu!

Poorest countries in the world – ranked | Atlas & Boots

Punchline!
TZ yetu na Kenya wote tuna kazi kubwa ya kufanya, zote mbili ni kati ya nchi masikini kabisa Duniani, kwanza cha ajabu hata Kongo (USD 5,717) ni tajiri zaidi ya Kenya, hivyo wakati mnaleta picha za kujivunia maestate ya Nairobi yanayomilikiwa na Muzungu /Indians ambayo wewe huruhusiwi hata kuweka pua yako kwenye geti kabla haujakamatwa, kumbukeni kwamba Kenya kama vile TZ ni masikini sana, na haijalishi ni wangapi wana njaa kuliko wengine!
 
Umeangalia vibaya labda, ni kutoka juu kwenda chini, yaani ni orodha ya nchi masikini Duniani, hivyo namba 1 (CAR) ndo nchi masikini klk zote, piili, tatu na kuendelea!
Nilikua namaanisha USA.
 
Nchi yetu sisi kama hatuendelei vile. Naona miaka na miaka tupo top 50.
 
Nilikua namaanisha USA.

Ndiyo USA ni moja kati ya nchi tajiri kwa mujibu wa hii orodha kwani ni ya 180 kati ya nchi 190, hivyo imezidiwa na nchi kumi 10 tu ambazo ni vijinchi vidogo vidogo!
 
Nchi yetu sisi kama hatuendelei vile. Naona miaka na miaka tupo top 50.

Nafikiri TZ tumepiga hatua ukilinganisha tulipotoka, mpaka miaka 90' mwanzoni tulikuwa nchi ya 3 kwa umaskini Duniani, leo hii ni 33, hivyo tumejaribu kidogo, shida ipo Kenya wao ndo wanarudi nyuma au wamesimama kwani zamani walikuwa wako juu kabisa ya nchi kama Ghana, Zambia au hata dr.Kongo!
 
Hizi takwimu huwa sizielewi kabisa
mie nikienda Kenya huwa naona umasikini wakupindukia level moja na DRC
Naposema umasikini namaanisha umasikini kweli
Nimepitia vijiji Kenya watu wana umasikini wakutupwa
 
Huenda jinsi pesa yao ilivyo na thamani kushinda yetu na uchumi tupo nyuma kiasi hicho. Simple maths, we are 20 steps behind kenya
 
Ninachojua hata masikini naye anaenda chooni,,,

Takwimubza wanasiasa si kigezo sahihi kwa maisha ya watu,,,,
Maana wenye nguvu ndo wanyonyaji na wanyanyasaji wakubwa.

Once you are poor you will always be one in Most African countries,,,hususan sisi wenye mifumo ya elimu na uchumi tegemezi kutoka nchi nyingine.
 
Huenda jinsi pesa yao ilivyo na thamani kushinda yetu na uchumi tupo nyuma kiasi hicho. Simple maths, we are 20 steps behind kenya

Siyo TZ vs Kenya, hili siyo lengo la Mada yangu kwanza ni kinyume chake, ukiangalia ni tofauti ya USD 270 tu, hivyo sisi wote (TZ na Kenya) bado ni nchi masikini sana!
 
Hizi takwimu huwa sizielewi kabisa
mie nikienda Kenya huwa naona umasikini wakupindukia level moja na DRC
Naposema umasikini namaanisha umasikini kweli
Nimepitia vijiji Kenya watu wana umasikini wakutupwa
Hizi takwimu zinachukuwa utajiri wa nchi kwa ujumla na kugawanya kwa kila raia wa nchi hiyo. Yaani Gdp per capita. Pia kuna gni per capita.Ndiyo maana Kenya kuna watu masikini wengi na matajiri wengi pia. The same applies to U.S.A and Britain ambapo kuna matajiri wengi na masikini wengi especially black people and maybe hispanics who live there. Usiangalie masikini pekee halafu ukose kuangalia matajiri pia. Unadhani Kenya ina watu masikini pekee? Basi wewe unaishi kwenye dunia tofauti. Pia unadhani U.S.A ina matajiri pekee? Basi wewe unaishi kwenye dunia tofauti. Ukweli ni kwamba nchi chache sana zimeweza kusawazisha mapato na utajiri wa wanchi wake. Especially for capitalistic societies like Kenya. Kwa hivyo hakuna jambo la kushangaza hapo. Jaribu kufungua akili kidogo, sio tu kuja Kenya na kutembelea kibera pekee halafu kurudi nyumbani na kusema eti Kenya watu ni masikini. Tembelea maeneo fulani fulani ya Kenya kidogo ujionee mambo kabla ya kusema eti ulijionea umasikini tupu. Hilo si ukweli.
 
Hii ni orodha ya nchi masikini zaidi Duniani, ukiangalia TZ yetu (kipato 2,786) ni ya 33 na Kenya ni ya 37 (kipato 3.155), ina maana Kenya imeizdi TZ kwa nafasi 4 tu au USD 369 tu!

Poorest countries in the world – ranked | Atlas & Boots

Punchline!
TZ yetu na Kenya wote tuna kazi kubwa ya kufanya, zote mbili ni kati ya nchi masikini kabisa Duniani, kwanza cha ajabu hata dr. Kongo (USD 5,717) ni tajiri zaidi ya Kenya, hivyo wakati mnaleta picha za kujivunia maestate ya Nairobi yanayomilikiwa na Muzungu /Indians ambayo wewe huruhusiwi hata kuweka pua yako kwenye geti kabla haujakamatwa, kumbukeni kwamba Kenya kama vile TZ ni masikini sana, na haijalishi ni wangapi wana njaa kuliko wengine!
Lakini sisi mkuu wetu anasema ameleta viwanda, lakini Bujibuji havioni.
Mkuu anasema ametengeneza nafasi za ajira, lakini Bujibuji haoni watu wakiajiriwa.
Mkuu anasema ameboresha mazingira ya kufanyia biashara, lakini Bujibuji anaona biashara zinafungwa, Na wafanyabiashara wa mipakani wanahanishia biashara zao nje ya nchi.
Mkuu anasema sarafu yetu imeimarika, Bujibuji anaona USD 1 ikiuza kwa 2300/-
Mkuu anasema ameboresha maisha, Bujibuji anaona Watanzania wakilia hali kuwa ngumu zaidi, hadi misemo ya kukuza Na kukazwa imeibuka
 
Hizi takwimu zinachukuwa utajiri wa nchi kwa ujumla na kugawanya kwa kila raia wa nchi hiyo. Yaani Gdp per capita. Pia kuna gni per capita.Ndiyo maana Kenya kuna watu masikini wengi na matajiri wengi pia. The same applies to U.S.A and Britain ambapo kuna matajiri wengi na masikini wengi especially black people and maybe hispanics who live there. Usiangalie masikini pekee halafu ukose kuangalia matajiri pia. Unadhani Kenya ina watu masikini pekee? Basi wewe unaishi kwenye dunia tofauti. Pia unadhani U.S.A ina matajiri pekee? Basi wewe unaishi kwenye dunia tofauti. Ukweli ni kwamba nchi chache sana zimeweza kusawazisha mapato na utajiri wa wanchi wake. Especially for capitalistic societies like Kenya. Kwa hivyo hakuna jambo la kushangaza hapo. Jaribu kufungua akili kidogo, sio tu kuja Kenya na kutembelea kibera pekee halafu kurudi nyumbani na kusema eti Kenya watu ni masikini. Tembelea maeneo fulani fulani ya Kenya kidogo ujionee mambo kabla ya kusema eti ulijionea umasikini tupu. Hilo si ukweli.

Lkn ukiangalia hakuna tofuati kubwa kihivyo kati TZ na Kenya, ukiangalia hizo takwimu, wote sisi ni nchi masikini tena sana tu, hivyo tushirikiane kutoka hapa badala ya kuleta Picha za estate za foreigners ambazo hata hatuzimiliki!
 
Huenda jinsi pesa yao ilivyo na thamani kushinda yetu na uchumi tupo nyuma kiasi hicho. Simple maths, we are 20 steps behind kenya

Linganisha thamani ya sarafu ya Kenya na ya China na Japan, ndipo utakapogundua simple maths yako is damn wrong.
 
Hizi takwimu zinachukuwa utajiri wa nchi kwa ujumla na kugawanya kwa kila raia wa nchi hiyo. Yaani Gdp per capita. Pia kuna gni per capita.Ndiyo maana Kenya kuna watu masikini wengi na matajiri wengi pia. The same applies to U.S.A and Britain ambapo kuna matajiri wengi na masikini wengi especially black people and maybe hispanics who live there. Usiangalie masikini pekee halafu ukose kuangalia matajiri pia. Unadhani Kenya ina watu masikini pekee? Basi wewe unaishi kwenye dunia tofauti. Pia unadhani U.S.A ina matajiri pekee? Basi wewe unaishi kwenye dunia tofauti. Ukweli ni kwamba nchi chache sana zimeweza kusawazisha mapato na utajiri wa wanchi wake. Especially for capitalistic societies like Kenya. Kwa hivyo hakuna jambo la kushangaza hapo. Jaribu kufungua akili kidogo, sio tu kuja Kenya na kutembelea kibera pekee halafu kurudi nyumbani na kusema eti Kenya watu ni masikini. Tembelea maeneo fulani fulani ya Kenya kidogo ujionee mambo kabla ya kusema eti ulijionea umasikini tupu. Hilo si ukweli.

Nafahamu watu hawawezi lingana kamwe
lakini utajiri huo kama unapimwa hivyo ni ujinga
Yaani Kenya ni jamii chache sana sana zenye kuishi vyema ndani ya kenya
Asilimia kubwa ya Wakenya ni hohe hahe
Umasikini pia una kipimo chake
Lakini umasikini nilio ushuhudia ndani ya vijiji vya Kenya unasikitisha huwa nashangaa sana kigezo kipi kilipelekea wakenya mjione mpo juu!!
Mimi kwakuwa nimejionea kwa macho yangu
Sitakuja kudanganywa na Vijikaratasi
 
Lkn ukiangalia hakuna tofuati kubwa kihivyo kati TZ na Kenya, ukiangalia hizo takwimu, wote sisi ni nchi masikini tena sana tu, hivyo tushirikiane kutoka hapa badala ya kuleta Picha za estate za foreigners ambazo hata hatuzimiliki!
Hizo real estates zinamilikiwa na Wakenya ni chache tu ndio zinamilikiwa na foreigners. Tatizo ni kuwa percentage ya mabwenyenye Kenya ni ndogo sana na percentage ya masikini iko juu. Shida ni capitalistic system ambapo gap kati ya matajiri na masikini itazidi kupanuka. Infact huko U.S.A, gap kati ya matajiri na masikini imepanuka zaidi hata kushinda Kenya. Huko U.S.A one percent of the Americans (Akina Bill Gates and Warren Buffet na wengine) wanamiliki zaidi ya asilimia tisini ya mali ya kibinafsi (yaani private wealth.) Kwa hivyo tatizo ni system ya uchumi wa capitalism. Socialism inaweza suluhisha baadhi ya haya matatizo. Lakini tatizo ni kwamba socialism inafanya watu kuwa lazy kwa sababu hakuna mtu anataka kulima shamba la jamii halafu jirani yako aje kuvuna mazao eti kwa sababu shamba linamilikiwa na jamii. Kwa hivyo capitalism ni mbaya lakini socialism is not the solution, tutafute system nyingine tofauti kabisa wa uchumi. Best system ingekuwa ni kuchukuwa wealth redistribution ya socialism na kuchanganya na private ownership ya capitalism kama vile some scandinavian countries zimefanya. Education and health ni free huko lakini pia watu wanaweza miliki nyumba na mashamba. Lakini inawabidi walipe tax ya zaidi ya 60% ili kuweza kuprovide free social services kama health and education. Kwa hivyo kila system ina advantage na disadvantage yake, inategemea ni gani wananchi wamechagua.
 
Linganisha hela ya Kenya na ya China na Japan, ndipo utakapogundua simple maths yako is damn wrong.

Huko mbali pia alinganishe Zambia Kwacha na shilingi ya Kenya, lkn Zambia ni tajiri zaidi ya Kenya kwa mujibu wa hizo takwimu, au hata cedi ya Ghana!
 
Hizo real estates zinamilikiwa na Wakenya ni chache tu ndio zinamilikiwa na foreigners. Tatizo ni kuwa percentage ya mabwenyenye Kenya ni ndogo sana na percentage ya masikini iko juu. Shida ni capitalistic system ambapo gap kati ya matajiri na masikini itazidi kupanuka. Infact huko U.S.A, gap kati ya matajiri na masikini imepanuka zaidi hata kushinda Kenya. Huko U.S.A one percent of the Americans (Akina Bill Gates and Warren Buffet na wengine) wanamiliki zaidi ya asilimia tisini ya mali ya kibinafsi (yaani private wealth.) Kwa hivyo tatizo ni system ya uchumi wa capitalism. Socialism inaweza suluhisha baadhi ya haya matatizo. Lakini tatizo ni kwamba socialism inafanya watu kuwa lazy kwa sababu hakuna mtu anataka kulima shamba la jamii halafu jirani yako aje kuvuna mazao eti kwa sababu shamba linamilikiwa na jamii. Kwa hivyo capitalism ni mbaya lakini socialism is not the solution, tutafute system nyingine tofauti kabisa wa uchumi. Best system ingekuwa ni kuchukuwa wealth redistribution ya socialism na kuchanganya na private ownership ya capitalism kama vile some scandinavian countries zimefanya. Education and health ni free huko lakini pia watu wanaweza miliki nyumba na mashamba. Lakini inawabidi walipe tax ya zaidi ya 60% ili kuweza kuprovide free social services kama health and education. Kwa hivyo kila system ina advantage na disadvantage yake, inategemea ni gani wananchi wamechagua.

Huwezi kulinganisha Kenya na USA, USA ni wealthy country kwa vipimo vyote na Kenya siyo wealthy country bali ni poor country kama TZ tu, hivyo hata hao masikini ambao unawaita ni masikini USA ukiwaleta Kenya wanakuwa ni upper class.

Hivyo kutumia mfano wa USA kuelezea Kenya, siyo sahihi kwani USA iko level nyingine kabisa.
 
Back
Top Bottom