Pope Francis has signed a decree to forbid Priests or bishops to bless Same Sex marriages

Pope Francis has signed a decree to forbid Priests or bishops to bless Same Sex marriages

Mtaongea sana kujikosha
Walioleta taarifa ya Papa kuwaunga mkono LGBTQ waliweka na source zenye link
Walioleta habari za maaskofu Ujeremani kuunga mkono hayo mambo walileta na source zenye linki

Sasa wewe mkazi wa Buza hebu tutendee haki kutiwekea chanzo cha taafifa yako ili tuoamini au ndo walewale mnaozinduka usingizini na kupost
Unateseka ukiwa wapi?

Mnajidai Kanisa Katoliki hamlipendi ila mnapenda sana kufuatilia habari zake!.
 
Povu kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, as if hii ndiyo OVU kubwa kuliko yote! Sawa haifai kubariki same sex, same sex ni kinyume na maumbile ya binadamu sawa from the dictates of biology, all you can say about same sex filths, lkn nguvu mnayotumia kukemea kama ingelielekezwa kwenye mambo yetu mengine ya msingi, mbona tungelikuwa ahera duniani.

Nguvu zinaelekezwa kotekote
 
Hivi ikitokea dunia nzima na serikali zote zikaamua pinga hili swala la LGBTQ, je dunia haitapendeza?

Au twamsubiri Mungu afanye kama Sodoma na Gomorra?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kama adhabu mbona sasa tunaadhibiwa sana kwani we huoni madhila yaliyoikumba dunia ndani ya hii miaka mitano, hiyo yote ni kuonesha binadamu tumekithirisha maasi tena yale mabaya zaidi.
Bora ningezaliwa enzi za kina ibrahim huko kuliko zama hizi
 
Lete chanzo cha taarifa.
Pope Francis says priests cannot bless same-sex unions, dashing hopes of gay Catholics

Source: Washington Post.

Pope Francis, who made headlines in the first months of his papacy by responding, "Who am I to judge?" when asked about gay priests, has now signed off on a Vatican decree that priests cannot bless same-sex unions since God "cannot bless sin."

The decree, issued by the Vatican's Congregation for the Doctrine of the Faith on March 15, states, "It is not licit to impart a blessing on relationships, or partnerships, even stable, that involve sexual activity outside of marriage."

For some, the new decree may result in whiplash, coming less than five months after the pope made headlines in a documentary film for once more affirming his support of civil union laws for same-sex couples. For others, it's further affirmation of the church's teaching that "homosexual acts are intrinsically disordered." But for all, it's another tricky move in Francis' tightrope walk of upholding church teaching, while also trying to extend a warmer welcome to LGBTQ persons.

What and whom may a priest bless and why?

A priest can bless a house, an automobile and a pet; the 400-page Book of Blessings, which is both approved by the Vatican and local bishops' conferences, even includes prayers for fishing gear, boats and athletic fields.

Among the objects and persons that can be blessed by priests are gay individuals — but with a caveat.

According to the new decree, a priest can bless a person who happens to be gay, but they must "manifest the will to live in fidelity to the revealed plans of God as proposed by Church teaching." The same conditions apply to "any union that involves sexual activity outside of marriage."

"This is a version of the old tried-and-true 'love the sinner, but hate the sin' mentality that shows up not only in Roman Catholicism but in other Christian denominations," said Patrick Hornbeck, professor of theology at Fordham University.

"The comparison would be the priest can bless the car, but the priest can't bless the car that he knows is going to be used in a bank robbery," Hornbeck told NCR. "Here, what the Vatican is saying is by the very nature of who LGBTQ people are, their bodies and their selves are such that they cannot be blessed in relationship with one another."
 
Mngekuwa mnafata imani za mababu na mabibi zenu za kiafrika, msingekuwa mnahangaika na imani za wengine mara waruhusu au wasiruhusu.

Kama nyie wenyewe katika imani zenu hizo z kikristo na kiislam mnasema Hanna dhambi mpya chini ya jua-kwamba kulikuwepo na Sodoma na Go mola watu walikuwa wakifanya hayo mambo.Sasa guo u gay kuibuka miaka hii ndio mnaona shida.

Ni swala LA muda tu,mambo ya u gay yataruhusiwa hadi kwenye makanisa-wazungu hawawezi kuacha imani zao eti kisa nyie hamtaki.
 
Safi sana Papa Francis, i was waiting so long kujua position ya RC from Roma, sbb Anglican UK wao wamebariki ushoga..

Huu ni uamuzi mtakatifu kabisa duniani, sbb sasa US, EU hawana uwezo wa kushindana na Kanisa Katoliki, RC ndio Kanisa lenye nguvu kuu dunia hii kwa sasa, kuliko serikali zote duniani combined, kwa wale wenye kujua wameelewa.

Sasa nchi nyingi duniani zitapinga na kupiga marufuku ushoga wazi wazi kwa kufuata Kanisa Katoliki, at last dunia inaokolewa ingawa tumechelewa kidogo.

Hatimaye, Mungu kupitia RC anatuepusha na laana kuu, Amen.
 
Breaking News Pope Francis has signed a decree to forbid Priests or bishops to bless Same Sex marriages in the Roman catholic church and he has directed all Bishops and priests everywhere in the world to condemn this barbaric and satanic acts we call LGBTQ rights! The official Position of the Catholic Church is that LGBTQ rights should not be entertained on earth! Papa amekataa huu upuuzi na ujinga
Breaking News Baba Mtakatifu Francisko ametia saini agizo la kuwakataza Mapadre au Maaskofu kubariki ndoa za Jinsia Moja katika kanisa katoliki la Roma na amewaelekeza Maaskofu na mapadre wote kila mahali duniani kukemea vitendo hivi vya kinyama na vya kishetani tunavyoviita haki za LGBTQ! Msimamo rasmi wa Kanisa Katoliki ni kwamba haki za LGBTQ zisiburudishwe duniani! Papa amekataa huu upuuzi na ujinga
 
Mtaongea sana kujikosha
Walioleta taarifa ya Papa kuwaunga mkono LGBTQ waliweka na source zenye link
Walioleta habari za maaskofu Ujeremani kuunga mkono hayo mambo walileta na source zenye linki

Sasa wewe mkazi wa Buza hebu tutendee haki kutiwekea chanzo cha taafifa yako ili tuoamini au ndo walewale mnaozinduka usingizini na kupost
Taarifa sahihi hiyo. Fuatilia vyombo vya habari maarufu duniani wametangaza. Kuwa wa kijitali zaidi sio kianalogi ndugu.
 
Breaking News Pope Francis has signed a decree to forbid Priests or bishops to bless Same Sex marriages in the Roman catholic church and he has directed all Bishops and priests everywhere in the world to condemn this barbaric and satanic acts we call LGBTQ rights! The official Position of the Catholic Church is that LGBTQ rights should not be entertained on earth! Papa amekataa huu upuuzi na ujinga
Japokuwa ni taarifa nzuri na njema kwa sisi wote tunaopinga ushoga, lakini taarifa yenyewe imekaa kipropaganda na uongo mwingi, kwa sababu zifuatazo;

1. Taarifa haina source.
2. Taarifa haisemi hilo tamko la Papa limetolewa lini na wapi.
3. Taarifa nzima imekaa kishabiki na kihisia badala ya kuandika facts&details
4. Taarifa ipo kiujumla mnoo kuliko kulenga eneo au jambo mahsusi.
 
Kama hiyo habari ni kweli pia tutafurahi zaidi atakapotengua ile kauli yake aliposema; Homosexuality is not a crime
 
Japokuwa ni taarifa nzuri na njema kwa sisi wote tunaopinga ushoga, lakini taarifa yenyewe imekaa kipropaganda na uongo mwingi, kwa sababu zifuatazo;

1. Taarifa haina source.
2. Taarifa haisemi hilo tamko la Papa limetolewa lini na wapi.
3. Taarifa nzima imekaa kishabiki na kihisia badala ya kuandika facts&details
4. Taarifa ipo kiujumla mnoo kuliko kulenga eneo au jambo mahsusi.
Wewe naye!!! Soma post na.21 na 26 upate mwanga wa ukweli. Pia pitia vyombo mbalimba vya habari duniani upate kujua.
 
Japokuwa ni taarifa nzuri na njema kwa sisi wote tunaopinga ushoga, lakini taarifa yenyewe imekaa kipropaganda na uongo mwingi, kwa sababu zifuatazo;

1. Taarifa haina source.
2. Taarifa haisemi hilo tamko la Papa limetolewa lini na wapi.
3. Taarifa nzima imekaa kishabiki na kihisia badala ya kuandika facts&details
4. Taarifa ipo kiujumla mnoo kuliko kulenga eneo au jambo mahsusi.

Source umeona washington post wameandika unataka source gani tena
 
Povu kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, as if hii ndiyo OVU kubwa kuliko yote! Sawa haifai kubariki same sex, same sex ni kinyume na maumbile ya binadamu sawa from the dictates of biology, all you can say about same sex filths, lkn nguvu mnayotumia kukemea kama ingelielekezwa kwenye mambo yetu mengine ya msingi, mbona tungelikuwa ahera duniani.
Na nyie hapo Tanga hameni kwenye Magofu 😆😆
 
Povu kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, as if hii ndiyo OVU kubwa kuliko yote! Sawa haifai kubariki same sex, same sex ni kinyume na maumbile ya binadamu sawa from the dictates of biology, all you can say about same sex filths, lkn nguvu mnayotumia kukemea kama ingelielekezwa kwenye mambo yetu mengine ya msingi, mbona tungelikuwa ahera duniani.
Unapenda mitifuano? Wewe ni mwanachama wa mambo hayo? Mbona povu la kupinga aliyoyasema Papa kubwa sana? Kilichoelezwa kwenye uzi ni tofauti na ulichoandika wewe!!!
 
Back
Top Bottom