Pope Francis has signed a decree to forbid Priests or bishops to bless Same Sex marriages

Pope Francis has signed a decree to forbid Priests or bishops to bless Same Sex marriages

Two incomparable scenarios! ushoga unavunja haki ya nani? Wizi ni legal issue na ushoga ni moral issue
Unavunja haki ya uzao na muendelezo wa vizazi, mashoga yasingezaliwa kama wazazi wao wangekuwa mashoga. Haki inaenda na wajibu. Ni wajibu wa mwanaume kuwa mwanaume.
 
Brother na wewe umeingiaje huko? Tatizo la ushoga ni kubwa mno kuliko tunavyofikiri. Na wewe kumbe
Nakwambia bladifaken, bastard. Our lines of argument are different. Ushoga siyo jinai. Ni personal issues! kama ilivyo ndoa za kawaida. Ni kwa vile hatujazoea na dini zinatuhubiria hivyo tangu utotoni, which is good! . lakini ukiwa na open mind and think a bit deep utaona ushoga ni quite a personal issue. Mimi siuungi mkono hata kidogo. lakini anayefanya achana naye afanye inakuhusu nini? hajavunja haki ya mtu yeyote.
Ni sawa pope akataze na hilo namuunga mkono, serikali isiruhusu kubariki hiyo kitu, naunga mkono, lkn anayefanya mwacheni. sawa na mwanamume asiyeoa hafanyi kosa lolote!
 
Unavunja haki ya uzao na muendelezo wa vizazi, mashoga yasingezaliwa kama wazazi wao wangekuwa mashoga. Haki inaenda na wajibu. Ni wajibu wa mwanaume kuwa mwanaume.
But that does not qualify to be a violation of anybody's rights! Si rahisi kuelewa my line of argument! Kwenye mwili wangu hakuna wajibu kutoka nje ya mwili wangu!

Lastly ushoga kwenye jamii yetu ni haramu , lakini siyo uhaini, jinai!
 
Povu kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, as if hii ndiyo OVU kubwa kuliko yote! Sawa haifai kubariki same sex, same sex ni kinyume na maumbile ya binadamu sawa from the dictates of biology, all you can say about same sex filths, lkn nguvu mnayotumia kukemea kama ingelielekezwa kwenye mambo yetu mengine ya msingi, mbona tungelikuwa ahera duniani.
Mbona hamsemi hayo mambo
 
Toka hadharani uanze kubariki wizi na kutaka uhalalishwe uone nguvu itakayotumika kukushambulia. Ushoga unashambuliwa kwa nguvu zaidi sababu mnataka kuuhalalisha.
Inatakiwa utofautishe hapo, wizi unaathiri maisha ya watu hata wasio wezi hivyo ni lazima upingwe.

Je ushoga una athari ipi kwa wasio mashoga?
Je, mtu akipakuliwa, mchakata mbususu anaathirika kwa kipi?
 
Papa kasoma upepo kabaini team Putin inaongezeka na siku za usoni itakuwa ndio kinara wa hii Dunia.Putin amepata uungwaji mkono baada ya kupinga Ushoga waziwazi.Papa kaona kabisa kuwa wale waungaji mkono Ushoga Nchi za magharibi wanaenda kuanguka,kasoma alama za nyakati.Na muda si mrefu atatangaza kuunga mkono mpango wa amani wa China kuhusu vita Vya Ukraine.Hii comment itabaki kuwa kumbukumbu.Shetani anaenda kuanguka.
 
Ikiwa ni kweli basi ni jambo jema, ila kama umeleta kishabiki kwa maana hata source ya habari hujatuwekea hutudanganyi sisi, vidume vitaendelea kuolewa na makasisi kubariki hizo ndoa,,,
 
But that does not qualify to be a violation of anybody's rights! Si rahisi kuelewa my line of argument! Kwenye mwili wangu hakuna wajibu kutoka nje ya mwili wangu!

Lastly ushoga kwenye jamii yetu ni haramu , lakini siyo uhaini, jinai!
Ni tatizo iwapo utafanyia promotion. Kama unafanya iwe siri yako na basha wako, ikishatoka nje na ikathibitika unafanya hivyo vitendo tayari ni tatizo.

Kama kujiuza tu. Kufanya ngono si jinai ila ukikamatwa unafanya biashara ya ngono una tatizo.
 
Kwa minajili ya kuondokana na hoax ni vizuri mtoa hoja aweke source pale post ya kwanza tuweze kuamini
 
Kama kujiuza tu. Kufanya ngono si jinai ila ukikamatwa unafanya biashara ya ngono una tatizo.
Uonevu wa nchi za kiafrika, za kifalme maana nchi zetu sisi ni objects wa rais/mfalme/Mungu hatuna maamuzi juu yetu.
 
Pope yuko sahihi hataki kwenye himaya yake, sawa! Lakini asitoke nje kusema wauawe........
 
Uonevu wa nchi za kiafrika, za kifalme maana nchi zetu sisi ni objects wa rais/mfalme/Mungu hatuna maamuzi juu yetu.
Tunayo. Wasiotaka ni wengi kuliko wanaotaka otherwise viongozi wangekuwa na presha kubwa kutoka kwa jamii.
 
Tatizo la mwanaume kuingiliwa kama mwanamke. Hilo ni tatizo.
How? be objective... kwamba akiingliwa mwanamume dunia/mtu/kijiiji/kanisa/msikiti inakosa haki /RIGHTS hii na hii!

What is the best definition of human rights?

Human rights are the basic rights and freedoms that belong to every person in the world, from birth until death. They apply regardless of where you are from, what you believe or how you choose to live your life.
 
Povu kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, as if hii ndiyo OVU kubwa kuliko yote! Sawa haifai kubariki same sex, same sex ni kinyume na maumbile ya binadamu sawa from the dictates of biology, all you can say about same sex filths, lkn nguvu mnayotumia kukemea kama ingelielekezwa kwenye mambo yetu mengine ya msingi, mbona tungelikuwa ahera duniani.
Warumi 8:35 Ni nani atakayetutenga na upendo wa Kristo? Je! Ni dhiki au shida, au adha, au njaa, au uchi, au hatari, au upanga?
 
Tunayo. Wasiotaka ni wengi kuliko wanaotaka otherwise viongozi wangekuwa na presha kubwa kutoka kwa jamii.
siyo afrika. Madikiteita wengi wako afrika, mbona hakuna resistance
 
Back
Top Bottom