Pope Francis: Ndoa za jinsia moja ni dhambi lakini wahusika wakaribishwe kanisani wasitengwe na ikibidi kupewa baraka

"ETI NGURUWE MIMI SILAGI ILA NAKUNYWA MCHUZI WAKE TU HA HA HA AH"
 
Kama wanataka kuhalalisha usenge huo,basi watolee ufafanuzi kwanini Mungu aliupiga kiberiti mji wa sodoma na gomora.
By the way,who is papa?
Unauliza Papa ni nani? Ni Muwakilishi wa Mungu kwa Wakatoliki wote Duniani

Ndivyo ilivyo na mbona Wakatoliki kila mara humu wanakiri na kulijua hilo?

Tusianze kujaribu kutotambua nafasi ya Papa, cha muhimu ni kuonesha msimamo wa kutokukubaliana nae katika mambo ya Ushoga kama walivyofanya Maaskofu wa Malawi, Kenya na Zambia.
 
Ushoga hauangalii nani anafanya.
Bali ni dhambi tu,hata afanye muislam bado ni dhambi,kama wanafanya wajue wanapata dhambi.shida papa anataka ifanywe halal hapa ndipo tunapompinga.
Hauwezi kumkataza mtu kufanya ni maamuzi yake.ila si kuhalalisha.
Leo umeandika kwa kushirikisha AKILI sio Hisia na Mihemko
 
Umekosea sana.
Kanisa halikubaliani na mambo hayo ya ushoga, kama wapo wanao tenda matendo hayo machafu hizo ni tabia zao sio mafundisho ya kanisa.
 
acha kumsingizia pope
 
Yule Papa ni Mpumbavu sana namuita mpumbavu kwa sabb muda wote anazungumzia mambo hayo hayo tu...!!
 
Hajabadili gia, msimamo wa kanisa ni ule ule, sisi wapotoshaji huku nchi maskini tunaokumbatia manabi wazungu na kuwakana manabii wa kitanzania akina mwamposa, gwajima na mzee wa upako ndio tunaleta tafsiri zetu eti oo sio kuwabariki ni kuwatambua, kuwapenda na bla bla kibao ila issue ni kwamba Mwanaume akipata mwanaume mwenzie wakienda kweli hilo dhehebu wanafungishwa ndoa na kubarikiwa.
 

Mungu akiacha kuneemesha kazi za watenda dhambi kuna mtu atabaki salama? Maana dhambi sio ushoga tu. Tunaishi kwa Neema. Neema ya Mungu ndo daraja linalomuunganisha Mungu na Mwanadamu hata katika udhaifu wake.

Wote tunastahili msamaha na wokovu ni kwa wote. Papa amejieleza vizuri tu ila propaganda za ki anti-christ ndo zimetawala katika kupotosha umma.
 
Dunia ina matatizo mengi yanayogusa jamii kubwa ya watu ila Papa amekomaa na ushoga kila ninapomsikia.
Kuna kitu hakiko sawa kwenye hii taasisi ila tumekuwa waoga kuhoji.
 
MUNGU HAMJUI PAPA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…