Pope Francis: Ndoa za jinsia moja ni dhambi lakini wahusika wakaribishwe kanisani wasitengwe na ikibidi kupewa baraka

Hakwepi,RC limekubali ushogaaa
 
Nadhani Papa mwaka huu alitamani kuhalalisha ila anakwepa kwepa tu.........Papa analiyumbisha sana hilo Kanisa, inawezekana nayeye ni mmoja wa waliohusika kwenye zile kashfa za watoto......anaona liwalo na liwe tu

Mjadala ungekuwa mapadri na masista kuoa na kuolewa ila siyo mjadala unakuwa ushoga
 
Ushoga hauangalii nani anafanya.
Bali ni dhambi tu,hata afanye muislam bado ni dhambi,kama wanafanya wajue wanapata dhambi.shida papa anataka ifanywe halal hapa ndipo tunapompinga.
Hauwezi kumkataza mtu kufanya ni maamuzi yake.ila si kuhalalisha.
Ndo amehalalisha sasa, na huna cha kufanya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Swadaktaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndo utajijuu, mashoga ruksa kubarikiwa, hutakii tokaa nenda huko unakoona kunafaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
.....Adai kinachotakiwa Kubarikiwa ni vitu vyao ila sio Ndoa zao 🤣🤣🤣.... Vitu vipi !!! Kusukumana !!!?? Kwa hili Papa aliteleza pakubwa ! Ni bora afute tamko lake !!!
 
[emoji16][emoji16]hapo mwisho nimecheka kwa sauti ghafla! Kumbe ngoja nami nilianzishe iwe harakati, maana huwa napata ukakasi nabakia kimya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katoliki ni mashoga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…