Population Crisis: Kim akilia machozi kuwaomba Wanawake wa Korea Kaskazini kuzaa watoto ili kuongeza idadi ya watu

Wananchi karibu wote wa Korea ya Kaskazini ni mateka na wahanga wakubwa wa madhila yatokanayo na utawala wa kidikteta uliopo huko. Hiyo hamasa ya kuzaa watoto wengi watu wataifoa wapi???? Muda wote wananchi Wana stress zitokanazo na misukosuko ya kiutawala wake wa kiimla.
 
Akaribishe waafrika waingie nchini mwake na kuzaliana
"If you look at their mode of life and their lifestyle in general, you can observe that BLACKS are born with a situation like an half-mad mentality and mindsets."
Jan Smuts, a first Prime Minister of Union of South Africa during the Apartheid era.
 
Tuanze na yeye mwenyewe..ana watoto wangapi?
 
Kama wana upungufu wa wanawake wa kuwazalia watutangazie tenda
 
Ndio ajue kuna mambo muhimu ya kushughulikia kuliko kuwekeza kwenye majeshi. Wenzao Japan baada ya kupigwa Hiroshima wakasema sasa ugomvi ugomvi sio kipaumbele chetu tena
Kuna namna nyingi tu za kushughulika na upungufu wa uzao badala ya kuangua kilio.

Cha msingi ni kufungua mipaka ya nchi na kuweka mazingira mazuri yatakayowezesha uhamiaji, na kuwa tayari kwa gene flow kutoka mataifa mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…